mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Asabu gani utamshikisha na kwa sheria ipi? Hiyo ndo maana halisi ya demokrasia kama mnavyojiita au ulidhani neno demokrasia tafsiri yake ni ipi?Dah! Huyu anapaswa kushikishwa adabu. Kwa nini aligombea kama alijua hicho anachokisema?
Asabu gani utamshikisha na kwa sheria ipi? Hiyo ndo maana halisi ya demokrasia kama mnavyojiita au ulidhani neno demokrasia tafsiri yake ni ipi?
Inawezekana tume iliwaengua wengi kutoka upinzani kwa vitu vidogo vidogo kama hivi, "kinyang'anyilo". Lakini kwa kuwa barua hii ni yakujitoa haina mjadala imepita tu.
Jina lenyew yuda
Jina lenyew yuda
Kakubaliana shingapi..?
Jina linasadifu!MTU mwenyewe Anaitwa Yuda eskarioti unategemea nini zaidi ya usaliti