Mufti Al Khalil: Mapambano ya Rais wa Uganda dhidi ya ushoga

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
6,515
Reaction score
6,230
IMG-20230601-WA0001.jpg

Allah amjaalie Mufti huyu afya njema na umri mrefu wa kuishi, Aamiin!

Museven, Mwenyezi Mungu akubariki, hakika upo 💪🏽 huyumbishwi na wamagharibi.

Moderator kwa hisani yenu, mmeshanifutia nyuzi zangu zaidi ya moja, nimeongea hamkunielewa, basi kwa leo nawaombeni muiache hii

Waabheja sana bhabhaa
 
Waislam wanafurahisha sana ni wagumu kubadilika sisi wengine huku tunasema samehe mara sabini tunaenda mbali usihukumu mambo ya wanadamu kila mmoja ana haki yake,wengine tunasema kwani Mungu angekuwa hataki si angetenda mwenyewe kama Sodoma na gomola huku kiongozi tunaemtegemea anasimama kule Italy na kusema lgbtq nao wana haki zao sisi wengine tunaitikia hewala na mabusu motomoto kwenye sanamu la yule naamini mpaka fahamu zitukae sawa itakuwa tumechelewa kwa kuhangaishwa na dunia.
 
Hii thread imekuchoma sana sio? Pole sana mkuu, kama unajihusisha na ushoga basi acha haraka
 
Kila mtu na utashi wake,shoga akiamua kutinduliwa nnya yake wewe kina kuuma nini,nadhani suala la m7 lipo kisiasa zaidi…Ug ina mattizo mengi ya msingi alipaswa aanze nayo ushoga sio tatizo halijawahi kua ttzo,huyo muft naye kakosa kazi apambane na mashoga waliopo oman.
 
Acha ushoga kijana tunza tundu lako

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu na utashi wake,shoga akiamua kutinduliwa nnya yake wewe kina kuuma nini,nadhani suala la m7 lipo kisiasa zaidi…Ug ina mattizo mengi ya msingi alipaswa aanze nayo ushoga sio tatizo halijawahi kua ttzo,huyo muft naye kakosa kazi apambane na mashoga waliopo oman.

Kama wewe ni shoga, nakushauri acha huo ushenzi utakuja kujuta
 
Hii ndiyo JF!

Uzi huu una saa nzima, kila anaye utazama anapita kama yule Falisayo kaona mtu aliye lala njiani bila msaada, kwa kuogopa eti akipinga atajinajisi kama M7!
 
Acha tu mkuu maneka, wengine unakuta hawaungi mkono kupinga ushoga kisa alietamka kupinga huu uchafu ni muislamu, tunapaswa kuungana na kuwa kitu kimoja
 
Back
Top Bottom