Baraza la mitihani linawapendelea wakristo kwa sababu baraza hilo limejaa wakristo kwani wafanyakazi karibuni 90% ni wakristo, ndio maana katika matokeo ya form four, asilimia 70 ya waliopata division zero ni watoto wa kiislam, ina maana waislam hatuna akili???
Hapa ni lazima kieleweke, ndio maana tunataka sawa kwa sawa katika uongozi wa idara zote nchini.

Kwani baraza la mitihani ndio wanasahihisha mitihani ya Form IV, VII au darasa la saba? Jamani si walimu tena wanachukua wa vyuo vya ualimu au walimu wa sekondari na wanakaaga sehemu itakayochaguliwa na Baraza la Mitihani? Au walimu wanaosahihisha ni wakristo tu? Au namba za mitihani huwa zina alama ya Wakristo au Waislam? Huu mdini mnaouanzisha ni mbaya sana!