General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,303 Reaction score 23,064 Jan 4, 2016 #1 Mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally amepongeza kasi ya maguguli pamoja na uteuzi wa baraza la mawaziri na makatibu wake. Source ITV habari. Nyie mnaosema Magufuli kapendelea wakristo sasa kiongozi wenu kaunga mkono.
Mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally amepongeza kasi ya maguguli pamoja na uteuzi wa baraza la mawaziri na makatibu wake. Source ITV habari. Nyie mnaosema Magufuli kapendelea wakristo sasa kiongozi wenu kaunga mkono.