The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 21
Jamani kuna siku niliwahi kusema hapa kwamba baadh ya waislamu wenzangu, hawana haja na kujua mustakabali wa taifa hili, wanachowaza kwao ni udini tu, huyu si muislamu ata kama ni kiongozi mzuri.Katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku wa leo (TBC) Shehe Mkuu Simba amewajia juu viongozi wa dini wanaohamasisha wafuasi wao kupigia watu fulani. Nina wasiwasi hii itaongeza tension maana tunakoelekea ndiko siko. Habari ndio hiyo
Kama alivyo fanya kakobe....Mimi ni Mwislam safi, nilitegemea kauli ya jopo la ma-sheikh lingezingatia kuwahamasisha watanzania kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuiongoza nchi yetu kufikia maendeleo yanayotarajiwa...
Yuko sawa kabisa kama wameshindwa kwa ukabira sasa njia rahisi ni udini tafakari chukua hatua
Katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku wa leo (TBC) Shehe Mkuu Simba amewajia juu viongozi wa dini wanaohamasisha wafuasi wao kupigia watu fulani. Nina wasiwasi hii itaongeza tension maana tunakoelekea ndiko siko. Habari ndio hiyo
Waislamu tusipoangalia sisi ndo tutakao leta matatizo makubwa katika nchi hii. Hakuna kiongozi yoyote wa kikiristo ambaye amempigia debe mgombea bali wamesema wasifu wa kiongozi anatakiwa kuwaje. HAKUNA KITU KINACHONIUDHI KAMA HAYA MAMBO YA UDINI. HAKUNA DINI ILIYOBORA . NA NDIO MAANA TUNATAKA RAISI MSAFI KATIKA UONGOZI WAKE AWE MUISLAMU AMA MKRISTOKatika taarifa ya habari ya saa mbili usiku wa leo (TBC) Shehe Mkuu Simba amewajia juu viongozi wa dini wanaohamasisha wafuasi wao kupigia watu fulani. Nina wasiwasi hii itaongeza tension maana tunakoelekea ndiko siko. Habari ndio hiyo
CCM wenyewe wadini.
Kwani huyo Shehe chama gani?
Kwenda huko!!