Mufti wa Tanzania aivunja Kamati ya Mwezi na kuunda Mpya. Aiongezea nguvu

Mufti wa Tanzania aivunja Kamati ya Mwezi na kuunda Mpya. Aiongezea nguvu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
BAKWATA inapenda kuufahamisha Jamii ya Waislam kuwa Mheshimiwa Mufti wa Tanzania ameivunja kamati ya Mwezi iliyokuwepo na kuunda kamati Mpya na kuoongezea nguvu.

Screenshot_20230218-134935.png
Screenshot_20230218-135000.png
 

Attachments

Kwa hiyo Alhad katolewa na huku!?
 
Alhad Mussa kafukuzwa rasmi Bakwata, wafuasi wa Jiwe wanafukuzwa Kila Kona, Mungu anajibu maombi ya watanzania
 
Alhad Mussa ameliwa kichwa bado kamati ya amani atapigwa chini pia
 
Back
Top Bottom