Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
ok.Katika hali ya kushangaza kabisa unatoa matamko ambayo yanashangaza na kusikitisha sana.
Mufti unataka viongozi wasikae kimya raisi akitunwa ila husemi katunwa na nani?
Mufti unataka viongozi wote wa dini wachukue hatua kwa wanao mtu kama raisi bila kusema ni hatua gan
Mufti huoni madhara ya anachofanya mwaipopo unayemuita shekhe?
Nilidhan ametwaliwaKatika hali ya kushangaza kabisa unatoa matamko ambayo yanashangaza na kusikitisha sana.
Mufti unataka viongozi wasikae kimya raisi akitunwa ila husemi katunwa na nani?
Mufti unataka viongozi wote wa dini wachukue hatua kwa wanao mtu kama raisi bila kusema ni hatua gan
Mufti huoni madhara ya anachofanya mwaipopo unayemuita shekhe?
Hakuna tofauti kati ya BAKWATA na umoja wa vijana wa CCM au umoja wa wanawake wa CCM.Katika hali ya kushangaza kabisa unatoa matamko ambayo yanashangaza na kusikitisha sana.
Mufti unataka viongozi wasikae kimya raisi akitunwa ila husemi katunwa na nani?
Mufti unataka viongozi wote wa dini wachukue hatua kwa wanao mtu kama raisi bila kusema ni hatua gan
Mufti huoni madhara ya anachofanya mwaipopo unayemuita shekhe?
ππ
Katika hali ya kushangaza kabisa unatoa matamko ambayo yanashangaza na kusikitisha sana.
Mufti unataka viongozi wasikae kimya raisi akitunwa ila husemi katunwa na nani?
Mufti unataka viongozi wote wa dini wachukue hatua kwa wanao mtu kama raisi bila kusema ni hatua gan
Mufti huoni madhara ya anachofanya mwaipopo unayemuita shekhe?
Rais anatukanwa kanisani kwa Gwajima kila siku unataka watu wakae kimya.Katika hali ya kushangaza kabisa unatoa matamko ambayo yanashangaza na kusikitisha sana.
Mufti unataka viongozi wasikae kimya raisi akitunwa ila husemi katunwa na nani?
Mufti unataka viongozi wote wa dini wachukue hatua kwa wanao mtu kama raisi bila kusema ni hatua gan
Mufti huoni madhara ya anachofanya mwaipopo unayemuita shekhe?
Karibu ktk uislam, karibu ktk nuru. Karibu ktk uongofu, karibu kabla jua halijazamaMambo ya mufti wenu malizaneni naye msikitini kwenu. Msizue taharuki