Mugabe and his bodyguards' arrangement

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917





source: Issa Michuzi blog

MY TAKE

Hadondoki mtu hapa ni mwendo wa kumdaka akiporomoka ngazi ni adui wa comrade :dance:!
 
Hapana nadhani nao wamekubali kuwa mzee kachoka na kapoteza nguvu kwenye miguu ndio maana umakini huo ni wa kiugonjwa na Sio kiulinzi mda si mrefu ataanza kuwa na fimbo au kibaskeli.
 
mzee kachoka ila ndo hataki kukubali hadi anasema tumuulize mke wake kama kachoka mmh...na hao mabody guard wamenzunguka kama nzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…