"Mwanamme kumchunga mke au mpenzi wa kike ni ngumu mithili ya kuchunga ufukwe wa bahari watu wasioge. Wewe ukiweka ulinzi huko ufukwe wa Bagamoyo, Kunduchi au Coco beach wenzio wanaoga ufukwe wa Msasani, Kurasini, Ferry au Kisiju pwani" - by mzee mmoja wa busara kutoka huku home Katavi.