Mugabe na ZANU PF wapanga birthday party ya kufuru!!

Susuviri

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Posts
3,713
Reaction score
889
Jamani huyu mwendawazimu ni lazima atimuliwe. hana uzalendo wala upendo na wananchi wake, in fact anawakejeli!


Yaani nasubiri mtu aseme kuwa eti huyu ni mzalendo!
 
Dah! I think, this will be their last party, before the falling apart of Mugabe regime. Chii... chi...chi...! Nasikia kichefu chefu...!
 
Dah! I think, this will be their last party, before the falling apart of Mugabe regime. Chii Nasikia kichefu chefu...!

MI naona hawa watu hawamwogopi Mungu au hukumu ya mwisho! Hata ukizingatia kuwa mamia wanakufa ba kipindupindu na mamilioni wanalala na njaa kila siku. Huyu babu inabidi tuendelee kumjadili hapa mpaka watanzania wote wajue kuwa huyu ni lifisadi likubwa hakuna mfano! Hivi sasa anatinga group moja na akina Idd Amin! Sijui ni uzee! Or maybe he was always a bastard but disguised it well as mzalendo!
 
Susuviri,

..sidhani kama Watanzania haswa wale ambao tuliishi wakati wa utawala wa Mwalimu, na wanachama wa CCM, tuna moral authority ya kuwakemea Wazimbabwe kwa kuchangia birthday ya kiongozi wao.

..umesahau jinsi Mwalimu alivyozunguka nchi nzima na kufanyiwa sherehe kubwa-kubwa, na kupewa zawadi za kila aina? haikupita hata miezi miwili zikaibuka habari kwamba serikali haina uwezo wa kukomboa meli ya mafuta iliyotia nanga bandarini!!

..huenda ZANU-PF wameiga toka Tanzania na CCM. wakati wanapigania uhuru walikuwa na makambi yao Mgagao na Nachingwea.
 

JokaKuu, ndo maana mi nikiona watu wana nostalgy na Ujamaa huwa na waka si kidogo! Repressive regimes are the same everywhere, hata huyu mtawala akiitwa Baba wa Taifa, Emperor au Rais, wote ni waonevu tu! Sasa cheki huyu mwendawazimu Gadhafi anataka kuwa king of Kings of Africa! Megalomania ni kitu kibaya sana.
Lakini nakubali kuna very tight paralell na uhusiano kati ya Zimbabwe na Tanzania. BTW Hivi yule balozi mwanamke wa Zimbabwe (Chipo?) nchi Tanzania ameishia wapi? Maana yule ndo alikuwa busy kuwafukua dissidents wa Zimbabwe hapa nchini akisaidiwa na usalama wa taifa !
Going back to our discussion: hata hivyo Nyerere alikuwa anajua mipaka or maybe couldn't cross the line, lakini zawadi kama hizi hazikuwepo. Ingawa hata zawadi ya mbuzi ni zawadi kubwa sana kwa mkulima! So maybe we really shouldn't judge Mugabe and ZANU PF and the people of Zimbabwe!
 

I don' know Why evil people live longer...!? Hajui kuwa lana ya wale wote wanao athirika na utawala wake itamfata popote atakapokwenda.
 
I don' know Why evil people live longer...!? Hajui kuwa lana ya wale wote wanao athirika na utawala wake itamfata popote atakapokwenda.

HUwa wanasema only the Good die young! Yaani kibabu kimeng'ang'ania maisha mpaka basi, sasa 85 na bado anadunda! Namkumbuka na Kamuzu Banda alivyokula chumvi kila siku tunatarajia afe lakini wapi!
 
Susuviri,

..Dada Chipo mara ya mwisho nilisikia yuko Namibia.
 
Susuviri,

..Dada Chipo mara ya mwisho nilisikia yuko Namibia.

Niliwahi kukutana na dissident moja wa Zimbabwe aliyeniambia alikamatwa hapa bongo na kuteswa na alitembelewa na Chipo akiwa anateswa, sasa sina confirmation ya fact hii, lakini nilishtuka sana, tokea siku hiyo nilikuwa nikimwona huyu mama, namwangalia differently, nikajiuliza, labda si mwungwana hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…