Mugabe Oyeeee

sasa huku mumefika mbali sina mbavu jameni, duh,haya but wazim wapo fit bado
 
jamani mie mbado kuelewa picha hahahah kumbe wafanya biashara ndogo ndogo waningia hadi aiport or ???
 
jamani mie mbado kuelewa picha hahahah kumbe wafanya biashara ndogo ndogo waningia hadi aiport or ???

Ndio maanake "Mwanamke wa Kwanza". When poverty strikes deep ethics go out of the window. Kuna wakati Lagos, Nigeria abiria walikuwa wanakimbia kupanda ndege kama vile huku na daladala na huku wengine wakishilia kuku mikononi. Anarchy!
 
Huh...
Zis is too aukward!

Kwa kawaida, kwa sheria za viwanja, hakuna kitu cha hivi kinachoweza kuruhusiwa.

Kiwanja kina Airside na Landside. Ndege zinakaa airside....Na kuingia Airside ni ngumu mno, ni mpaka upitie taratibu zote za ukaguzi wa idara ya Usalama ya uwanja!

Hakuna kitu kama hiki...nadhani Zimbabwe Aviation Industry ni Sayari isiyoongozwa na International Civil Aviation Organisation(ICAO) .
 

wenzako hawana hayo mambo yako ya airside wala landside...
 
wenzako hawana hayo mambo yako ya airside wala landside...

Wewe nadhani ndio sio muelewa!This is a photoshop image - it has been doctored.Kwa hiyo ni kama a joke!Kiukweli kiwanja kinafungiwa kama hali kama hii inatokea.Kuna IATA and some other bodies ambazo zinaregulate viwanja vya ndege.Na huwa zina sheria VERY STRICT za viwanja!it is impossible for hao wafanyabiashara kuruhusiwa kuingia na kufanya biashara kiivyo!Just understand the joke and move on!
 

Ni kweli mkuu. Hii picha ni ya kutengeneza na haina ukweli wowote. Ni kitu kisichokuwepo sehemu yoyote duniani.
 
Kwa kweli kazi ipo! Uhuru huo ni wa hatari kweli kweli. Hata Mzee wetu Ruksa atashangaa kutolewa ruksa za aina hiyo akipata hii kali.

Leka
 

Nafikiri mkuu Paka huyu bwana au hawa wabunifu wamejaribu tu kuonyesha kwa ucreative kuwa nchi ipo katika status gani ya kiuchumi na haireflect moja kwa moja na real situation bali kinachoreflect hapo ni idea tu. Ni mtazamo tu!
 
Hii picha nafikiri ni ya kuchonga, hata kama wamachinga wamefanikiwa kuingia, mnnunuzi atanunuaje? Au madirisha ya ndege za Zimbabwe huwa yanafunguka kama ya magari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…