Huyu bora tumsajili kwenye timu ya Taifa ya Afghanistan! Ili akiwaletea wale Wataliban mambo yake ya tozo, wampige tu shaba! Maana hakuna namna.Ni mwigulu nadhani kuna matatizo ya uchapaji
Mshambuliaji wa Kimataifa na kutegemewa wa Mabingwa wa Soka Nchini Simba,Chris Mugwalu ameuzwa kwenye Club ya Wadi Degla ya Nchini Misri. Kwa mujibu wa taarifa za Mwandishi wetu aliepo Nchini Misri Mwaliute Mwambumbumbu amesema kuwa Mshambuliaji huyo Raia wa Zambia ameonekana kwenye jukwaa la VIP la timu hiyo inayoshika nafasi ya 16 kwenye Ligi Kuu Nchini humo iliyokuwa ikicheza match ya ligi zidi ya club ya Ismaily iliyomalizika usiku huu ambapo Wadi Degla wakiwa ugenini wameweza kushinda goals mbili bila na kuweza kufikisha point 28.
Duru za ndani kutoka Jijini Dar es Salaam na Nchini Morocco ilipo kambi ya Simba zinasema kuwa Mchezaji huyo Mzambia ameuzwa kwa shilingi za kitanzania 120ml na atalipwa mshahara mara mbili ya aliokuwa anaupata alipokuwa klabuni hapo. Alipopigiwa simu afisa habari wa timu hiyo Ezekiel Kamwaga alisema kuwa habari kamili atazitoa CEO wa timu hiyo hapo kesho.
Chanzo: Lembwe Blog
Nilisema hii blog ni ya kisenge sanaMshambuliaji wa Kimataifa na kutegemewa wa Mabingwa wa Soka Nchini Simba,Chris Mugwalu ameuzwa kwenye Club ya Wadi Degla ya Nchini Misri. Kwa mujibu wa taarifa za Mwandishi wetu aliepo Nchini Misri Mwaliute Mwambumbumbu amesema kuwa Mshambuliaji huyo Raia wa Zambia ameonekana kwenye jukwaa la VIP la timu hiyo inayoshika nafasi ya 16 kwenye Ligi Kuu Nchini humo iliyokuwa ikicheza match ya ligi zidi ya club ya Ismaily iliyomalizika usiku huu ambapo Wadi Degla wakiwa ugenini wameweza kushinda goals mbili bila na kuweza kufikisha point 28.
Duru za ndani kutoka Jijini Dar es Salaam na Nchini Morocco ilipo kambi ya Simba zinasema kuwa Mchezaji huyo Mzambia ameuzwa kwa shilingi za kitanzania 120ml na atalipwa mshahara mara mbili ya aliokuwa anaupata alipokuwa klabuni hapo. Alipopigiwa simu afisa habari wa timu hiyo Ezekiel Kamwaga alisema kuwa habari kamili atazitoa CEO wa timu hiyo hapo kesho.
Chanzo: Lembwe Blog
Nimegundua jamaa unahuzunishwa sana na maendeleo ya Simba ndio maana unashinda mitandaoni kutunga storiMugwalu auzwa Wadi Degla ya Misri
Sarpong mnamficha wapi maana hata nusu ya magoli ya Mugalu hajayafikiaHuyu bora tumsajili kwenye timu ya Taifa ya Afghanistan! Ili akiwaletea wale Wataliban mambo yake ya tozo, wampige tu shaba! Maana hakuna namna.
Hizi blog hizi🤣 Simba hakuna mchezaji anayeitwa Mugwalu ndugu yetu Mwambumbumbu aliyepo ni Mugalu na uraia wake siyo Zambia ni Congo wewe Mwambumbumbu umesikia?
mbona bei ya VITZ ?Mshambuliaji wa Kimataifa na kutegemewa wa Mabingwa wa Soka Nchini Simba,Chris Mugwalu ameuzwa kwenye Club ya Wadi Degla ya Nchini Misri. Kwa mujibu wa taarifa za Mwandishi wetu aliepo Nchini Misri Mwaliute Mwambumbumbu amesema kuwa Mshambuliaji huyo Raia wa Zambia ameonekana kwenye jukwaa la VIP la timu hiyo inayoshika nafasi ya 16 kwenye Ligi Kuu Nchini humo iliyokuwa ikicheza match ya ligi zidi ya club ya Ismaily iliyomalizika usiku huu ambapo Wadi Degla wakiwa ugenini wameweza kushinda goals mbili bila na kuweza kufikisha point 28.
Duru za ndani kutoka Jijini Dar es Salaam na Nchini Morocco ilipo kambi ya Simba zinasema kuwa Mchezaji huyo Mzambia ameuzwa kwa shilingi za kitanzania 120ml na atalipwa mshahara mara mbili ya aliokuwa anaupata alipokuwa klabuni hapo. Alipopigiwa simu afisa habari wa timu hiyo Ezekiel Kamwaga alisema kuwa habari kamili atazitoa CEO wa timu hiyo hapo kesho.
Chanzo: Lembwe Blog
Hamia yanga mkuu acha kuumia.Huyu gabachori anatuharibia timu