jumuiya ya leyton muzdalifaah inawatangazia muhadhara waislamu wote utakaofanyika katika holi lao la leyton jumamosi ya tarehe 27/03/2010
adress:
33 clyde place,
leyton,
london
e10 5as.
kuanzia saa kumi jioni (16:00) mpaka saa kuminambili jioni (18:00)
mada itakuwa ni shahada.
jazaakumu llahu -lkhair