Muhadhara

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
MUHADHARAH

MAPENZI YA MTUME KIVITENDO

Siku: Jumapili 02 May 2010

Sehemu: Alnoorcet Prayer Hall

Wakati: Saa 10 hadi saa 1 (16:00 - 19:00)

Nyote Mnakaribishwa (Free Parking)

Muhadhiri: Ust Yusuf Al Naufaly

Tel: +44208 5943100


Address:
30 North Street
Barking
IG11 8AW

 
msisahau mabom na majambia muendapo kwenye ukumbi. pia msimsahau shee wenu shee yahya msoma nyota na muuza uchawi na majini. natumaini mtawaeleza watu pia kwanini mwamedi alimuoa aisha akiwa na umri ule, it is a shame kuona kuwa reputation ya tz kwa sasa imekuwa moja wapo ya nchi zenye waislam radical duniani, hasa siku ile waislam walipoandamana hadi ubalozi wa marekani, walipofanya sala ya kuwaombea waislrael na wamarekani wapatwe na mabaya, na wanavyohamasisha na kufundisha fujo kwa vijana wao kila siku. nawashauri achaneni na hiyo dini ya kufuga majini, mwisho wenu wote ni kwenye shimo liwakalo moto na kiberiti, hapo ndipo mtakapomkuta na mwamedi amekaa huko anawasubiri muungue pamoja, na mabikira nao mtawakuta wakiota moto kuwasubiri.
 
Mwanafalsa mmoja mkubwa katika historia alisema kuwa kuna watu wa aina nne:-

1. Mtu anajuwa na anajijuwa kuwa yeye anajuwa......huyo ni 'mjuzi, muulizeni.

2. Mtu anajuwa na hajijui kuwa yeye anajuwa ......huyo ni mwenye kusahau, mkumbusheni.

3. Mtu hajui na anajijuwa kuwa yeye hajui.......huyo ni mjinga, muelimesheni.

4. Mtu hajui na hajijui kuwa yeye hajui......... huyu ni muovu, muepukeni.


Aina hii ya mwisho ni ngumu na ni msiba mkubwa... Ni bora usiingie naye katika majadiliano naye abadan, atakupotezea muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…