Muhamad aliona wanawake wana upungufu wa akili

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Na siwezi mlaumu. Kama kwa usiku mmoja alilala nao wote 9 akawadinya wakawa wanakubali tu lazima aliona hawana akili.

Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 2658, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Shahādāt" (Kitabu cha Mashahidi):


Tafsiri:
Anasema Abu Sa’id al-Khudri (RA): Mtume ﷺ alisema: "Je, shahada ya mwanamke si sawa na nusu ya shahada ya mwanaume?" Wanawake walisema: "Ndio." Akasema: "Hii ni kwa sababu ya upungufu wa akili ya mwanamke."
 
Unaumia nini.... Yani wewe mwanaume, unaumia nini mwanaume mwenzako akioa mwanamke sampuli hio au ndo wivu...!!
 

Moderator Active Paw Panel Principled Cookie 255Fixer Refiner Wand Payge Mhariri

Hii mada ipelekwe jukwaa husika la dini au ifutwe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…