Muhammad Ali amazing boxer

Ali alipoulizwa na mwandishi wa habari, mbona ulikuwa unacheza sana ulingoni, akajibu "ningemdondosha raundi ya pili lakini niliwafikiria watazamaji waliokuja kuniona nikaona niliendeleze pambano kidogo wafurahie pesa zao walizolipa za kiingilio".

Amazing.
 
kwhyo Ally hajawai pigwa kama mbwa mwizi au hujui yule jamaa ndo kamfanya awe na kiharusi


Hapana, Muhammad Ali hakuwa na "kiharusi" wala "kimatanga", Ali alikuwa na Parkinson's Disease ambayo haihusiani na boxing. Na alipigwa baada ya kupata hayo maradhi.

Kabla ya maradhi walimpiga wote alirudiana nao kuwatwanga tena.

Besides, Muhammad Ali, was not only an amazing and most admired boxer the world has ever seen, he was one of the most amazing human beings we have ever seen.

Muhammad Ali alidiriki na aliweza kuwakatalia serikali ya USA kumpeleka kupigana vita Vietnam kwa misingi ya kuwa dini yake hamruhusu kuuwa asiye na hatia. Unalijuwa hilo?

Hii alipopigana na tena George Foreman na kumtwanga, Zaire:

 
Walikuwa wana mpeleka kule ili waweze kumuua, alikuwa mtu wa misingi sana, alikuwa mwana haraka pia nje ya mchezo wa boxing
 
Tyson cha mtoto kwa Mohamed Ali....aliniudhi sana alivyomng'ata sikio Evander....
Watu kama George foreman sonny liston joe frazier hao walimjua ali nae aliwajua hilo pambano la thriller in manila ilikuwa khatari round ya kumi na tano watu wa joe wanatupa taulo ali anatangazwa mshindi kisha nae anaanguka chini.
Style kama sting like a bee and jump like a butterfly alimpiga sonny kama mtoto ali atabaki bondia wa kukumbukwa
 

Yeah kiongozi! huyu jamaa atakumbukwa kwa-kweli.....
 
Muhammad Ali anasifika kwa kuwa na moyo wa ujasiri
sababu mabondia wengi aliopigana na akashinda walikuwa
wanamzidi karibu kila kitu

Ali mbele ya Liston alionekana si chochote
lakini alishinda kwa kum frustrate Liston hadi akagoma kuendelea

Ali na George Foreman Kinshasa ilikuwa kila mtabiri katabirii Ali kupigwa

Foreman alikuwa hajawahi kupigwa......na alikuwa very very strong

Mazoezi tu ya foreman yalitisha....ile punching bag ilikuwa inaacha alama za mashimo kwa mda mrefu sana..

watu walijua si tu Ali anapigwa but anapigwa vibaya...

Ajabu sana Foreman alirusha ngumi nyiingi sana..but alikuja kupigwa na ngumi moja tu....chini...
 


Thriller in Manilla ilikuwa ni Ali na Joe Frazier:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…