Muhammad Ali amazing boxer

Thriller in Manilla ilikuwa ni Ali na Joe Frazier:

Ndivyo nilivyo andika dada yangu soma uzuri na pia ramble in the jungle ndo Zaire ya waqt ule tena formen bado kijana tena watu wanamtumainia na wanakerwa na majigambo ya ali shughuli ilikuwa pevu ali yupo na mtu wa kuitwa bundini ilikuwa pair nzuri hiyo walimpiga sonny miezi minne kabla wakienda nyumbani kwake na kufanya fujo ali akisema njoo tupigane hapa bila viingilio wala muamuzi sonny akawa kajaa kama puto kumbe wenzie wanajua wanachokifanya.
 
Ndio mkuu lakini Ken Norton nakumbuka ndio bondia pekee aliweza kumpiga Ali
 
Kwangu tyson ni bondia bora kwa kizazi nilichokulia mie na kuona boxer, na alinifanya niupende mchezo huu ni yeye.. Ila Muhammad ali ni greatest kwa muda wote.. Nimeangalia video zake nying nakili he is the best..
 
Kwangu tyson ni bondia bora kwa kiazi nilichokulia mie na kuona boxer, na alinifanya niupende mchezo huu ni yeye.. Ila Muhammad ali ni greatest kwa muda wote.. Nimeangalia video zakr nying nakir he is the best..

Wanasema Muhammad Ali "re invented boxing".

He was so fast camera za mikanda ya "tape" ya zamani haikuona ngumi ya kulia iliyomdondosha mara mbili Liston raundi ya kwanza "Phantom Punch".

No heavyweight boxer who was/is as fast.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…