Wewe ni punda?Hata punda anarusha mateke, si ajabu.
Tema mate chini.. Kwa Ally ni mtoto wa nursery..mike tyson was amazing boxer ever
Siku hizi punda wanajiunga JF. Umeendelea.
Dogo utaolewa weweWewe ni punda?
Hapana, Muhammad Ali hakuwa na "kiharusi" wala "kimatanga", Ali alikuwa na Parkinson's Disease ambayo haihusiani na boxing. Na alipigwa baada ya kupata hayo maradhi.
Kabla ya maradhi walimpiga wote alirudiana nao kuwatwanga tena.
Besides, Muhammad Ali, was not only an amazing and most admired boxer the world has ever seen, he was one of the most amazing human beings we have ever seen.
Muhammad Ali alidiriki na aliweza kuwakatalia serikali ya USA kumpeleka kupigana vita Vietnam kwa misingi ya kuwa dini yake hamruhusu kuuwa asiye na hatia. Unalijuwa hilo?
Hii alipopigana na tena George Foreman na kumtwanga, Zaire:
FaizaFoxy inabidi umuelewe Eddy. Wakati anakua Mike Tyson ndo alikuwa bondia bora duniani (ukiacha the ear bite on Evander).
I think inaendana na umri wa mhusika na upeo/uelewa wake wa mambo ya masumbwi.
Kuna vijana wadogo kuliko yeye wanamuelewa Muhammad Ali ni nani, anajifanyisha tu huyo.
The worst of Muhammad Ali's enemies "used to admire him the most".
Then it has to be his general understanding of the boxing world. Kwake dunia ya masumbwi liana wakati alipoanza kuangalia masumbwi kwenye luninga na kea umri wake alimkuta Tyson.
Hata hivyo nakubaliana na wewe, ili kuweza kutoa comment kama aliyotoa inakubidi ufahamu japo kidogo kuhusu unachokiongelea. La sivyo unakuwa ujinga. arrogance/ignorance???? chagua moja...
Umekhitimisha vyema kutokuwepo katika kizazi fulani kisimpe upofu wa kuweza kuchimbua mambo makubwa waliofanya watu waliopita leo kina mkude tuwaone viungo walio kamilika kuliko gagarino na china unakuwa ni mzaha wa mchana uzuri video za manguli kama ali zipo aziangalie namna watu walivyo kuwa wanamaliza raundi 15 jasho na damu vinamwagika.Then it has to be his general understanding of the boxing world. Kwake dunia ya masumbwi liana wakati alipoanza kuangalia masumbwi kwenye luninga na kea umri wake alimkuta Tyson.
Hata hivyo nakubaliana na wewe, ili kuweza kutoa comment kama aliyotoa inakubidi ufahamu japo kidogo kuhusu unachokiongelea. La sivyo unakuwa ujinga. arrogance/ignorance???? chagua moja...
Shukran dada kwa kuleta clip hii hakika ni kumbukumbu nzuri namuona henry alikuwa bado hajachacha
Mtizame Ali the great hapo uso mng'aavu kama hakuwa bondia kisha vuta picha wana ndondi wetu kina nassoro michael kina habib kinyogoli kina Benjamin mwangata unakuta uso una viraka utadhani barabara zetu za lami zisizo na viwango. Ali alikuwa anajua kujilinda uso atakuachia tumbo upige mpaka uchoke.