marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Siku nitakayokutana na Muhammad Ali nitamkimbilia kisha nitamwambia "Ahsante sana,Ahsante Sana, Ahsante Sana Muhammad Ali kwa kumbukumbu uliotuachia hakika uliitendea haki mikono yako"
KIsichowezekanan ni ngamia kupita tundu la sindano na si mimi kukutana na Muhammad Ali kwa sababu milima peke ndio haikutan binadam tutakuna tu kama sio dunian hata mbinguni.
1942 Katika Jimbo la Kentucky mitaa ya Louisville karibu na Jimbo la Virginia nchin Marekani Alizaliwa "The Superhuman" Cassius Clay wengi wanamjua Kama Muhammad Ali .Ukifika Kentucky utakula Sana kuku wa kukaanga wa KFC(Kentucky Fried Chicken) kwa bei rahis.
Siku moja akiwa anacheza mtaani Cassius Clay alipokonywa baiskel, kitu ambacho kilimuumiza sana na Hakuwa na chakufanya aliamua kwenda kituo cha polisi cha Louisville kushtaki labda watamsaidia, lakin ilishindikana sababu Cassius alikuwa hamjui jamaa aliyeichukua baiskel yake.
Tukio Hilo lilimkutanisha na Afande Joe Martin aliemwambia Cassius usilie ili usiibiwe baiskeli nyingine Inabid ujifunze ngumi.
Safari ya Cassius Clay kwenda katika masumbwi ikaanzia apo na Joe Martin akawa mwalim wa kwanza wa ngumi wa Muhammad Ali. Hakuna mzigo mzito kama Moyo wako kumchukia Muhammad Ali,
Kama ingekuwa ni mpira wa miguu naweza kumfananisha na Ronaldinho au J.J.Okocha. Style za Muhammad Ali za kupigana kwa madoido alifanya hata wasiopenda Boxer waipende
kwa Style zake za kupigana bila kuweka Guard usoni,Jab yenye Nguvu, mapigo ya hook na Combination za haraka.
Watu waliteseka sana ulingoni,watu walipoteza nguvu ya kuona vizuri(Eye Vision), watu walilamba sakafu ulingoni.
Kwa Muhammad Ali akiwa ulingoni ni Bora uwe ni mtu mweusi Ukiwa mweupe utakuwa huna bahati kwake hiyo mechi itakuwa ni sawa na vita Kati ya "Slave na slave master( Mtumwa na bwana ake) Kuna kitu kimoja ambacho Muhammad Ali anajutia Sana katika maisha yake.Ni siku ambayo alikataa kuitikia Salam ya Malcom X walipokutan katika hotel moja nchini Ghana, Malcom-X mtu ambae alikuwa Kama kaka kwa Muhammad Ali.
Muhammad Ali alikuwa bado hajasilimu alimuona Malcom-X nimsaliti kwa kuamua kuingia kuingia katika uislam.
follow page hii kwa Muendelezo...
#simulizizafanani