Hii dini ni kituko sana sema tu wakristo huwa Hawana time na dini nyingine zaida ya yesu hivi imaging mtu from nowhere anakuja anasema ameoteshwa aazishe dini na watu wanamwaminiBhahahahaaa, amakweli uislamu ni kituko, kuna ile nyingine ya muhammad kuiba ngawira wakati wenzake wamemshtukia eti Allah akashusha aya usiku kusema, mtume haibi bali anachukua.
Sikwepi swali na nimeshajibu. Upweke wa Mungu uko wazi. Kwa hii soma Quran 112:1 - 4mfano, serikali kujinadi kwenye miradi yake kuwa tumefanya hiki tumefanya kile kwa sababu serikali ni taasisi ina watu,je Mungu/Allah alimuumba mwanadamu akiwa na nani? Usikwepe kujibu swali
hujui kitu weweSikwepi swali na nimeshajibu. Upweke wa Mungu uko wazi. Kwa hii soma Quran 112:1 - 4
InshAllahNi kweli lakini tumuoneshe njia, awache kusema uongo na kupotosha kwa mambo ambayo yako wazi. Yeye anadhani sisi hatujui na hatuwezi kumjibu. Hili ndilo ninalolifanya. Huyu mpaka akae sawa.. ndio niachane naye.
Wewe ndo unajua?hujui kitu wewe