Muhando: I have no choice but to move to Kenya

Wherever you go if your not innocent the environment won't change you into a Saint while, the vice versa is true!!

Best wishes, Muhando.
 
Mbona WaTz mnamtesa huyu Dada jameni, amewafanyia yepi, hadi mitandaoni CV yake mwaiharibu, mfaidike na nini? Shengesha hizi zote kwanini?, masikitiko jameni, kamwache huyu dada. Na Kenya yuakaribishwa kwa mikono miwili!
Anajishtukia tu.kama anaoga njia panda
 
Wewe ekari mbili utaomba kwa nani?Ardhi yote si ya Uhuru&family na wazungu wachache tu.
 
Aje tu mama jameni Watanzania lini mtaanza kuheshimu na kusheherekea mafanikio ya watu wenu, mnaendesha kila kitu kwa majungu. Chochote kizuri mnakiandama na kuharibu, huyu mama amechangamsha Afrika Mashariki kwa bidii yake, sasa mumemzonga hadi ameamua kuhamia Kenya kabisa.

Karibu mami, tutakusaidia kuinuka tena na utang'aa na kendesha injili kwa nyimbo zako. Makanisa ya Kenya yampokee na kumpa ushirikiano wa hali ya juu. Akitaka apewe na uraia kabisa.
 
Kawaida kwa mareject wa Tanzania kukimbilia Kenya maana huku hawana nafasi tena. Anajua Wakenya hamjui kitu kwa hiyo ataendelea kuwapiga vijihela vyenu.
Reject? With her level of accomplishme
nt, u call her....a reject? SMH?
Kwann sasa unasema hivi? Just bcos she's exiling to Kenya?

Hii si kitu poa kumuita "reject". Kama ana makosa ya uporaj wa hela, unavyosemekana kusema, basi achukuliwe hatua za kisheria, lakn hapa anasema anadhulumiwa na watu flani.....sir, u surely are more sensible than this. She is a victim of harasment; harassment in its worst forms including slander, sex and threats to her life- for christ's sake!
She deserves your sympathy and understanding.
 
Kenya ni waharibifu wa vipaji, awe mwimbaji wa gospel au sekula akitoka Tanzania na kwenda Kenya viwango vya vipaji vyao hushuka sana.

Namshauri Rose Muhando amalize matatizo yake kama kweli yapo na aendele kuhudumu kote Afrika na duniani kutokea ''base'' yake ndani ya Tanzania.

'One song made Kenyans insult me and think I am trash, I felt really bad' - Jimmy Gait [HASHTAG]#theTrend[/HASHTAG]
Kenya NTV
 
Reactions: BAK

Kamtaja mtu mmoja; Bishop wewe unasema waTz, unachuki na waTz?
 
Rose Muhando ni teja.. Hata wakina Ray C walikuwa wanakataa hivi hivi ila mwisho tunaujua ....


Namfahamu ray C ni teja... Aache madawa ndio pona yake ...


Nasema tena namjua rose ni teja acha madawa mama
 
Basi wakenya kwa kujifanya malaika kuliko watanzania, lkn mnajifanya mna upendo wa kinafiki wakati nyie wenyewe huko kwenu hampendani. So stupid nyie!!!
 
Pale area C Dodoma Aliweka rehani Nyumba yake ya kifahari kwa Tajiri David Mosha kwa sababu ya madawa .... Tunajua wakina nani waliingilia kati Nyumba ile isichukuliwe baada ya kumaliza hela ...


Acha madawa mama
 
Rose Muhando ni teja.. Hata wakina Ray C walikuwa wanakataa hivi hivi ila mwisho tunaujua ....


Namfahamu ray C ni teja... Aache madawa ndio pona yake ...


Nasema tena namjua rose ni teja acha madawa mama
Niliwahi sema hapa ndani hatujui jinsi ya kulinda tunu zetu..!!! Jiweke kwenye nafasi ya Rose ndio utajua.maumivu yake.!! Labda unamfahamu Rose lakini tupo tunaomfahamu zaidi yako..
Nchi hii aliwahi ondoka Baraka Mwishehe akahamia Kenya ba kufia Kenya.
Aliondoka Ray C akiwa maarufu na anafanya vema sana alirudi Ray c mwingine kabisa.
wameondoka wengi sana kwenda Kenya..tunachoambulia ni nini?
kwanini wanaondoka..
Nchi yetu ukipata mafanikio kidogo unakuwa target ya watu kukutumiankwa faida yao ili wakuangamize..
magazeti radio kila mahali fitna tu.!!tunayaona kwa Diamond platnum.
Tumeyaona kwa francis Cheka..
Tuliyaona hata kwa Taifa stars chini ya Marcio Maximo.!!
Nadhani huku kwetu kuna watu sio wenye Nchi hii uswahili ni Mwingi mnoooo.
Rose Muhando fanya uonalo ni jema kwako.
 
Hamna kitu pale.
Meli imeshaanza kuzama taratiiiibu!!!
 
Mimi nyimbo zake sizipendi lakini nasherehekea uimbaji wake maana ana wafuasi kibao. Hiyo hadithi ya Bishop kutaka kumshurutisha kwa ngono siamini maana(eish she is not ecactly a damsel to pursue relentlessly, anakaa kawaida tu). That said, akija Kenya atapata nafuu gani? Kama kuna anayetaka kumwangamiza Kenya bado ni karibu sana atafuatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…