MUHAS First year wanaripoti lini?

SEPHORD SAUL

New Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Hayo yametokea baada ya kila mmoja kuongea lake kuhusu tarehe na muda wa kufanyiwa addimition.Hivyo nataka kujua ukweli wa jambo hilo.
 
Hayo yametokea baada ya kila mmoja kuongea lake kuhusu tarehe na muda wa kufanyiwa addimition.Hivyo nataka kujua ukweli wa jambo hilo.

mpaka sasa hawatoa taarifa yoyote. Pendelea kupitia website yao!
 
Hayo yametokea baada ya kila mmoja kuongea lake kuhusu tarehe na muda wa kufanyiwa addimition.Hivyo nataka kujua ukweli wa jambo hilo.

Kama hawajachange,first year wanaripoti tarehe 6 october na continuing wanaripoti tarehe 13 october

Source:University Almanac
 
Kama hawajachange,first year wanaripoti tarehe 6 october na continuing wanaripoti tarehe 13 october

Source:University Almanac

Nimesoma kwenye gazet jana First year wanaripot 13 wengne tarh 20....
 
Bado mmeniacha njia panda cjui nishike ipi.

Nimeongea na Dean wa School ya Pharmacy amesema kuwa ndio kulikuwa na mipango ya kupostpone haditarehe 13 na 20 kwa first years na continuing respectively.
Hivyo amesema tuwe tunapitia web mara kwa mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…