MUHAS undergraduates 2014/2015 majina yameshatoka?

Joined
Aug 27, 2014
Posts
26
Reaction score
0
jamani nilikuwa naomba nifaamishwe kama majina ya first year muhas 2014/2015 kama yameshatoka au bado make mimi nimefuatilia saana lakini bado sijapata data kamili naombeni mnisaidie kunielewesha.
 
wewe angalia kupitia TCU..uone wamekuchagua wapi..
 
jamani nilikuwa naomba nifaamishwe kama majina ya first year muhas 2014/2015 kama yameshatoka au bado make mimi nimefuatilia saana lakini bado sijapata data kamili naombeni mnisaidie kunielewesha.

www.muhas.ac.tz....humu ndimo kuna jibu la swali lako
 
weka jina lako,nikusaidie kutafuta au ni PM hilo jina pia usisahau mwaka ulio maliza kidato cha nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…