fidelis zul zorander
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 685
- 176
nenda web yao
inavyoonekana ni kwamba tcu wameshatuma matokeo kwenye vyuo vyote na wamewapa idhini yakuyarelease kwenye website zao ila nashindwa kuelewa kwanini baadhi ya vyuo havija ya publish mpaka leo au tuwaelewaje..?
speculations!