Muheshimiwa nikopeshe Mimi hizo hela za kununua boeing787 na hectare 2000000 nirejeshe 787 300

concordile 101

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,379
Reaction score
6,624
Muheshimiwa kwanza nianze kukupongeza kwa Juhud zako tukufu za kulifufua shirika letu LA nndege hii inaonesha una nia ya dhati ya kutufikisha canaan.
Muheshiwa pia nimeona jitihada zako za kuvutia wawekezaji, Mimi naomba nianzie hapa kuwa hakuna muwekezaji mzur kama RAIA mwenyewe. Hao wawekezaji Wa nje hawawez let's badiliko LA maana. Mfano mdogo tu angalia wawekezaji kama tbl na ufaninishe na Adam, utagundua azam anafanya mengi sana zaid ya hao ingawa nadhan wamekuwapo miaka mingi sana.
Muheshimiwa kulingana na ripoti ya sagcot ya mwaka 2008 uhusuyo arable land in Tanzania. Tanzania INA hectare 44mil ya arable land na wakazid kuzicategorise Wa high potential 2.3, medium potential 4.8 na low potential. 22mil na hizi in zile zinazodondokea kwenye land suitable for irrigation ambazo jumla ni 29mil.
Muheshimiwa ukiangalia kwa afrika nchi ambayo inaweza zalisha chakula na kujitosheleza ni sisi tu kulingana na eneo tulilo nalo. Mfano zaid ya Zambia hakuna nchi inajitoshladha kwa ngano tukiwemo na sisiKwa mfano south Saharan countries total importation ya ngano ni21mil tonnes per annual huku gap likizid kukua. Egypt na Morocco tu importation take ikiwa in 18mil tonnes per annual hapo sijaweka na nchi nyingine.kwa mfano huoo uhakika Wa solo LA ngano upo.
Muheshimiwa kwa waliowahi tembelea nchi zinazotuzunguka watakubaliana na Mimi kuna uhaba mkubwa Wa mchele,viazi,maharagwe na vyakula vyote kwa ujumla. Mara ya mwisho nimeenda Lubumbashi nakumbuka kununua mchele kwa usd3/kg lakin kipind hicho kwetu ilikuwa 1200tu tena ule super wakat ule nilionunua kule ulikuwa in ule Wa Thailand usio na ladha. Hizi case kama hizi utazikuta nchi kama msumbuji,Rwanda,Congo,somalia south Sudan.
Muheshimiwa mpaka hapa nimejaribu kukuoneasha uhakika Wa solo nilionao
OMBI
Muheshimiwa mim naomba unikodishe bonde lote LA MTO malagarasi au wastan Wa hectare 2000000kwa muda ya miaka mitano ambazo ni wastani wa asilimia 6% tu ya eneo ambalo halilimwi au halijatumiwaUSD 448mil ambazo ni sawa na ununuzi Wa ndege mbili aina ya dreamliner787.
MAREJESHO
Kuanzia Sikh ambayo nitaanza operation mpka miaka mitano inatimia niwe nimejesha bombardier q400 =250 au sukhoi superjet =250 na Boeing 787=150. Hii ni ndan ya miaka mitano tuu hata kama zitakuwa hazijafika lakin ziwe zimelipiwa in cash. Au kujenga barabara ya njia nne toka dar mpaka tunduma na dar mpaka mpka Wa Rwanda na Uganda.
Ila shaft uondoe zuio LA kuuza mazao nje
 
Kwanini Usiende TIB Bank, Kuna Fedha Kibao Mule Za Serikali Wanakopesha Wanaotaka Kuwekeza? - Tatizo La Wabongo Wanachoweza Ni Kupiga Porojoooo, Wavivuu.Soon Yatatukuta Ya Xenophobic Kwa Wahindi.
 
Kwanini Usiende TIB Bank, Kuna Fedha Kibao Mule Za Serikali Wanakopesha Wanaotaka Kuwekeza? - Tatizo La Wabongo Wanachoweza Ni Kupiga Porojoooo, Wavivuu.Soon Yatatukuta Ya Xenophobic Kwa Wahindi.
Haha sio kwa tunashindwa na ishu sii uvivu Mimi naona muheshimiwa wetu ana vision ila jinsi ya kufika ndo mabonde mengi. Pia kumbuka kupata ardhi bongo ni sawa na kuomba presha otherwise kwa ruhusa ya mkulu.tib bank zetu sio rafiki kabisa. Kuna kipindi nilikuwa na frame ya vyakula ambayo nilikuwa uswaz na mzunguko daily sikukosa milion , nikawa na plan kama hii ila nilitaka nianze na 200 na nilitaka nikopeshwe 250sikuwa na asset ya dhaman hiyo ila nilikuwa plan iliyoshiba ambayo return take ingekuwa mara dufu ila nilichojibiwa hatukopeshi mradi ambayo haujaanza. Mabenk yetu yamelala sana has a haya makubwa kama tib,crdb and the like. Kuna bank kama finca,efc,DCB,access wamejikita kwa watu Wa chini sana. DCB mnaunda kundi na kwenye kundi ndo dhamana yako. Kuna finca kuwa na lesen tu na tin no. Tayar wewe uko qualified kupata mkopo ila sasa hawatoi kwa investments kama hizi pia riba yao kubwa. Unaweza kopa 1200000 ukalipa 1800000 ndan ya mwaka
 
Hahahah aiseee haya bana Sukhoi 250,Dreamliner 150, Bombadier 250 ,ndani ya miaka 5 ? Haki ya mama Magufuli akisoma hii lazima akukate Keleb
 
Hahahah aiseee haya bana Sukhoi 250,Dremliner 150, Bombadier 250 ,ndani ya miaka 5 ? Haki ya mama Magufuli akisoma hii lazima akukate Keleb
Haha hawez mbona zinanunulika hizi tRNA kilain angalia nimeomba na mini hapo. Hectare 2mil ambazo ni sawa na eka 5mil yaan hapo unapiga irrigation scheme ya kufa MTU yaaan kuliko na uhaba Wa mchele Kongo mwaka Wa kwanza dreamliner 50
 
Kwanini Usiende TIB Bank, Kuna Fedha Kibao Mule Za Serikali Wanakopesha Wanaotaka Kuwekeza? - Tatizo La Wabongo Wanachoweza Ni Kupiga Porojoooo, Wavivuu.Soon Yatatukuta Ya Xenophobic Kwa Wahindi.
Mkuu hayo MAHELA tutayapata Kwa Utaratib Gani.. Nipe detail fupi kabla sijafanya uamuzi WA kwenda ofisini kwao.. Je masharti Yao vipi ni magumu
 
You may have valid points lakini hili swali nalielekeza kwako wewe binafsi iwapo kweli utepewa hivyo. Je unadhani management ya heka m 2 itakuwa na staili uliyozoea ya ku manage heka 10 au 100? Heka hizo si mchezo hiyo ni kampuni ya ukweli kabisa inabidi uunde na iwe na vitengo kabisa mbali mbali sasa unao uzoefu wa ku manage kampuni kubwa kama hiyo? Kwa hiyo labda uandike business plan kabisa uombe hizo heka m 2 na mkopo benki ya maendeleo ya Africa au watakufikiria wakati ujao watakupa hizo hela. Until further notice ni hadithi za abunuwasi tu. Hela za kilimo zipo kwa walio serious kwanini usianze na heka 1000 kablahujawaza heka m 2. Nina uhakika kama una proposal nzuri unaweza kupata kabisa mtaji wa heka 1000
 
Reactions: MC7
Mkuu hayo MAHELA tutayapata Kwa Utaratib Gani.. Nipe detail fupi kabla sijafanya uamuzi WA kwenda ofisini kwao.. Je masharti Yao vipi ni magumu
Ndugu Yangu Kama Uko Serious Tenga Muda Siku Moja Uwatembelee, Fursa Tanzania Zimejaa - Tatizo Wabongo Kila Mtu Mwanaharakati Wa Kisiasa, Soko La Hisa Tu Hapo La Dar Es Salaam Wanalifaidi Wahindi Na WaKenya.Leo Serikali Imelazimisha Makampuni Simu Kujiorodhesha Dse Lakini Vijana Wako Kwenye Usingizi Wa Pono - Mwezi Wa Sita Mwaka Huu Kuna Utafiti Wa Kishule Nilikuwa Nafanya - Nilichokiona Kinatia Simanzi.Hata Hivi Viwanda Ambavyo Magufuli Anahamasisha Vijengwe Wengi Wataajiriwa Wahindi Na Wakenya - Tanzania Unakuta Kijana Ana Miaka 35 Hana Ujuzi Wala Taaluma Yoyote - Ajira Atakayopata Labda Ya Ulinzi
 
OK kiukweli hiii sio kweli kuwa nishawahi kumanage heka zaid ya hamsini. Na kuhusiana na vitengo na nini hapa ndo inapokuja kazi za maconsultant na watu wanaoshabiana nao. Kuhusu kuanza na eka 1000, kila kitu kinahitaji moyo kuna sehem nilitembelea nikakuta mkulima ana eka 2000 ila analima yeye na familia yake, ila muhimu ni vifaa na initial capital. Kwa issue ya afdb sidhan kama wanaweza kopesha kiasi hicho cha pesa kwa MTU kama Mimi ambaye sina hata turnover ya usd50000 kwa mwaka
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…