Sasa vurugu zimeanza rasmi, mabomu ya machozi yanatembea kama njugu!
sababu ya maandamano ni nini.....?
Natafuta kona nzuri ambapo sitopatwa na mabomu napandisha picha za tukio kwenye thread hii hii
Sasa vurugu zimeanza rasmi, mabomu ya machozi yanatembea kama njugu!
Natafuta kona nzuri ambapo sitopatwa na mabomu napandisha picha za tukio kwenye thread hii hii
Hizo shahada!watazisubiri!maana kuna kitu kinaitwa TENDO UNENI
Hili ni mojawapo ya madai yao. Aidha, wamebeba mabango yanayolaani wabunge kujiongezea posho wakati watanzania wanataabika na maisha magumuMuhas imefuta serikali ya wanafunzi tangu mwakajana hadi sasa wanadunzi wananyanyaswa hata na masecretary na wafagizi chuo sasa kimekuwa kama primary. Nawapa big up mpaka kieleweke na wale wezenu 50 mpaka watoke. Hayataboreka serikali inayataka.