Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Hospitali ya Taifa Muhimbili itafanya upasuaji mkubwa July 1, 2022 unaotarajiwa kuchukua saa 6 hadi 7 wa kuwatenganisha Watoto mapacha wawili wenye umri wa miezi tisa waliozaliwa wakiwa wameungana sehemu ya kifua na tumbo na umbo la ndani wameungana ini ila kila Mtoto ana ili lake.
Tanzania itakuwa nchi ya tatu Barani Afrika kufanya upasuaji wa aina hii baada ya Afrika ya Kusini na Misri.
Pia soma > Pacha walioungana kufanyiwa upasuaji Muhimbili leo Julai Mosi, 2022
Tanzania itakuwa nchi ya tatu Barani Afrika kufanya upasuaji wa aina hii baada ya Afrika ya Kusini na Misri.