Muhimbili itafanya upasuaji mkubwa kuwatenganisha mapacha walioungana

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Hospitali ya Taifa Muhimbili itafanya upasuaji mkubwa July 1, 2022 unaotarajiwa kuchukua saa 6 hadi 7 wa kuwatenganisha Watoto mapacha wawili wenye umri wa miezi tisa waliozaliwa wakiwa wameungana sehemu ya kifua na tumbo na umbo la ndani wameungana ini ila kila Mtoto ana ili lake.

Tanzania itakuwa nchi ya tatu Barani Afrika kufanya upasuaji wa aina hii baada ya Afrika ya Kusini na Misri.


Pia soma > Pacha walioungana kufanyiwa upasuaji Muhimbili leo Julai Mosi, 2022

 
Nyinyi madaktari ni watu muhimu sana sana nawaombea Mungu awabariki.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…