Muhimbili kuna wataalam wa kugundua ugonjwa huu au mpaka India?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,440
Wakuu
Hii habari inawezea isiwe ya Siasa 100% lakini kwa kuwa siku za karibuni hapa bongo kumekuwa na mijadala ambayo imezua issue kadhaa baadhi yake ni

  • matibabu ya nje
  • Aina ya magonjwa ambayo wataalamu wetu muhibili na tanzania kiujumla wanaweza ku diagnose na kutibu ....

Kuna hii story ya huyu mtoto huko majuu (UK) . Sasa kutumia scenario ya huyu mtoto tusome alafu tujiulize na tutoe maoni ya sera ya kiafya na mambo ya gender Kwa mtazamamo wa Tanzainia




je
  • Madaktari wetu na policy zetu za kisiasa zinasemaje na zinatambuaje neno gender.
  • Hatua zilizochuliwa huko UK ni sawa ?
  • Kibongo bongo hapa wazazi kukubali mabadiio ya gender kwa mtota wao tungesema wamebariki ushoga ( now codenamed ucameron) . Una maoni gani
  • hatupendi yaotekee lakini wewe kama great thiker wa JF bahati mbaya ukipata mtoto mwenye ugonjwa huu utafanya nini juu ya majaribu haya ?

Nawasiisha kwa mjadala
 
Lol
  • au na ugonjwa huu ni wa kwenda India?
  • Au sio ugonjwa ?
Tusemezane
 
Muhimbili ni Hosp ya rufaa ya Taifa. Hamna maradhi ambayo hawawezi kutibu isipokuwa kifo. Lakini kinachorudisha nyuma ni ukosefu na uchakavu wa zana za tiba. INASIKITISHA SANA:A S embarassed::A S embarassed:
 
Muhimbili ni Hosp ya rufaa ya Taifa. Hamna maradhi ambayo hawawezi kutibu isipokuwa kifo. Lakini kinachorudisha nyuma ni ukosefu na uchakavu wa zana za tiba. INASIKITISHA SANA:A S embarassed::A S embarassed:

of course man doctorz ukweli muhimbili inawafanyakazi wenye uwezo wa hali ya juu isipokuwa tatizo jingine ni vitendea kazi kwasasa vipimo baadhi havipo na vingine vimeharibika kama CT-SCAN, X-RAY, NA OGD wagonjwa wanakuwa ordered kwende regens
 
Muhimbili ni Hosp ya rufaa ya Taifa. Hamna maradhi ambayo hawawezi kutibu isipokuwa kifo. Lakini kinachorudisha nyuma ni ukosefu na uchakavu wa zana za tiba. INASIKITISHA SANA:A S embarassed::A S embarassed:

Kwa hiyo ule ugonjwa wa zito kabwe kutojulikana Tanznia na kwneda kujulikana India walitumia vifaa gani vya ajabu au ni makatari wa India walitulia wakatumia medical history history yake na matatiz o aliyowai kuyapata kwa maelzo yake mwenywe wakauganisha na symptoms wakagundua ugonjwa.......

Nadhani mambo mengine sio vifaa tu ni kikwaoz . Ni proper records na proper Diagnosiss pia amabayo inawezekana baadhi ya madkatri wetu wana mapungufu .
 
zito alikuwa diagnosed tz kuwa ana chronic sinusitis iliyokuwa inamsababishia chronic headache. Alipewa referal ya india for sophisticated surgery ambayo mnh haipo. Kibishi bishi mnh angefanyiwa sugery na akapona. Ila kale kaugonjwa ka viongozi wetu kupenda kwenda nje na kuficha siri zao kalitumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…