Muhimbili na secretarieti ya ajira wameita.

Bandabichi

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
230
Reaction score
42
Heshima mbele wakuu wa jamvi.

Leo nimepigiwa simu na sekretarieti ya ajira kutakuwa na interview muhimbili. Tafadhali nilikuwa sehemu mbaya kidogo

kwa hiyo umakini haukuwepo na binti alikuwa na haraka. Mwenye taarifa tujuzane zaidi wakuu.

Jioni njema.
 
Ningekushauri utembelee kwenye website zao huwa wanatoa na majina

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Heshima mbele wakuu wa jamvi.

Leo nimepigiwa simu na sekretarieti ya ajira kutakuwa na interview muhimbili. Tafadhali nilikuwa sehemu mbaya kidogo

kwa hiyo umakini haukuwepo na binti alikuwa na haraka. Mwenye taarifa tujuzane zaidi wakuu.

Jioni njema.

wamepiga simu ndio,ni kwenye zile nafasi za mwezi june,tembelea web ya utumishi wa umma
muhimbili ni sehemu ya kufanyia usahili tu.
 
Back
Top Bottom