Bandabichi
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 230
- 42
Wanakuja..
nimekujaNa mimi nawasubili kwa hamu kwelikweli
Ningekushauri utembelee kwenye website zao huwa wanatoa na majinaHeshima mbele wakuu wa jamvi.
Leo nimepigiwa simu na sekretarieti ya ajira kutakuwa na interview muhimbili. Tafadhali nilikuwa sehemu mbaya kidogo
kwa hiyo umakini haukuwepo na binti alikuwa na haraka. Mwenye taarifa tujuzane zaidi wakuu.
Jioni njema.
Heshima mbele wakuu wa jamvi.