Muhimbili University Badilikeni

Muhimbili University Badilikeni

Jack Beur

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2010
Posts
222
Reaction score
246
Muhimbili University of Health and Allied Science ni miongoni mwa vyuo vinavy oheshimika hapa Nchini na nje ya Nchi, kiasi kwamba kuna wanafunzi wanatoka Nchi za nje na kuja kusoma hapo, mfano, Sudan Kusini, Uganda, Zambia , Malawi n.k. Tatizo lililopelekea kuweaka hii thread hapa ni mfumo wao wa kutangaza matokeo ya University Exam, UE, bado wanatumia njia ya zamani ya kubandika kwenye Notice board, ikumbukwe mida hii ni likizo ya muda mrefu, wanafunzi wamesafiri kurudi makwao mikoani na nje ya Nchi, sasa wanapobandika matokeo kwenye Notice board, walio nje ya Dar es Salaam watayapataje? this is too extra ordinary, kwa nini wasiupload kwenye website yao, mwanafunzi anaaccess kwa Reg no yake na user name popote alipo, not all people stays in Dar, this is International University.
 
Huo ndio uhalisia wa nchi yetu na taasisi zake. Business as usual. Walimu hawana muda, wako kwenye miradi yao. professors attending conferences!
 
Si wawe wanatumia system ya mtandao kama inayotumiwa na Udsm Udom system yao ya kizamani hiyo kuchoshana watu toka mikoani hadi chuo sasa iv watu wanatumia mitandao
 
wawasiliane na mimi niwatengenezee student information system.
 
Muhimbili University of Health and Allied Science ni miongoni mwa vyuo vinavy oheshimika hapa Nchini na nje ya Nchi, kiasi kwamba kuna wanafunzi wanatoka Nchi za nje na kuja kusoma hapo, mfano, Sudan Kusini, Uganda, Zambia , Malawi n.k. Tatizo lililopelekea kuweaka hii thread hapa ni mfumo wao wa kutangaza matokeo ya University Exam, UE, bado wanatumia njia ya zamani ya kubandika kwenye Notice board, ikumbukwe mida hii ni likizo ya muda mrefu, wanafunzi wamesafiri kurudi makwao mikoani na nje ya Nchi, sasa wanapobandika matokeo kwenye Notice board, walio nje ya Dar es Salaam watayapataje? this is too extra ordinary, kwa nini wasiupload kwenye website yao, mwanafunzi anaaccess kwa Reg no yake na user name popote alipo, not all people stays in Dar, this is International University.

Umenena vyema mkuu,kweli kabisa waachane na mfumo wa kubandika makaratasi
 
Wanatupa adha sana, yani kila siku ukiingia webxite hakuna jipya
 
Muhimbili University of Health and Allied Science ni miongoni mwa vyuo vinavy oheshimika hapa Nchini na nje ya Nchi, kiasi kwamba kuna wanafunzi wanatoka Nchi za nje na kuja kusoma hapo, mfano, Sudan Kusini, Uganda, Zambia , Malawi n.k. Tatizo lililopelekea kuweaka hii thread hapa ni mfumo wao wa kutangaza matokeo ya University Exam, UE, bado wanatumia njia ya zamani ya kubandika kwenye Notice board, ikumbukwe mida hii ni likizo ya muda mrefu, wanafunzi wamesafiri kurudi makwao mikoani na nje ya Nchi, sasa wanapobandika matokeo kwenye Notice board, walio nje ya Dar es Salaam watayapataje? this is too extra ordinary, kwa nini wasiupload kwenye website yao, mwanafunzi anaaccess kwa Reg no yake na user name popote alipo, not all people stays in Dar, this is International University.

Kweli mkuu hapo mhimbili hilo swala tulisha wahi kulipigia kelele sana mbona vio vingine vidogo vya diploma wao wanaweza fanya hicho kitu wao wanashindwa nin ni aibu sana aisee
 
Chuo kikuu kama Muhimbili hamna SARIS? Aibu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
SARIS ipo ila haitumiki accordingly,matokeo utayakuta SARIS about months from yanapokuwa released kwenye mbao..Pia hiyo database ina kasoro nyingi tu kiasi kwamba kuitumia inachosha
 
MUHAS kuna mengi tu ya Kushangaa kama wanadahili postgraduate anakosekana mwanafunzi wa PhD hata moja!!??
 
Back
Top Bottom