Muhimbili University of Health and Allied Sciences(MUHAS) SPECIAL THREAD


Barikiwa sana, hapo kwenye level zote ondoa degree weka Bachelor.
 
Vijana wa Prof.Andrew Pembe naomba kuuliza jinsi ya kujiunga na MUHAS alumni na faida zake.
 

Organogram ya MUHAS nadhani imebadilika hiyo uliyoiweka ni ya zamani kidogo, kuna vyeo pia naona vimevunjwa mfano DVC mmoja alikua anasimamia Academic, Research & Consultancy kwa sasa kuna DVC anayehusika na Academic kivyake na DVC mwingine anahusika na Research & Consultancy.

DVC-Planning, Finance & Administration umemuandika Prof Said Aboud wakati kwa sasa huyo ni Director wa NIMR.

Na wengineo wengiView attachment Advert-Appointments-.pdf
 
Bora hukupata kiongozi ...maana kama password tu ulisahau .....shuree ndo kabisaa ingekusumbua mno.....😁😁😁
😄😄Sikusahau makusudi ila kila nilipojaribu kulog-in ilikataa nikareset password apo ndo kabisaa..
 
Chuo kiboreshewe miundombinu ya kujisomea na hostel kwa maana kama ujawai kufika MUHAS unaweza kudhani ni bonge la chuo lakini kumbe ni kachuo kadogo sana, tunaomba wajenge majengo mazuri ya kujisomea na waboreshe hosteli maana zimechoka sana.
 
Thanks, information nilizotoa hapo juu nimezitoa kweny website ya MUHAS, nadhani itakuwa bado hawaja rekebisha
 
Chuo kiboreshewe miundombinu ya kujisomea na hostel kwa maana kama ujawai kufika MUHAS unaweza kudhani ni bonge la chuo lakini kumbe ni kachuo kadogo sana, tunaomba wajenge majengo mazuri ya kujisomea na waboreshe hosteli maana zimechoka sana.
Kujenga majengo mengine pale sidhani eneo dogo, labda kuboresha tuu, alaf nasikia kuna campus nyingine inajengwa kigoma baada ya kupokonywa ile ya mloganzira😅 Google chrome
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…