Muhimbili

Joined
Jan 16, 2014
Posts
24
Reaction score
0
Jaman mimi niliomba kusoma diploma pale MUHAS lakini mpaka leo nikiingia kwenye website yao sioni selection zao.Je ztatoka ln? Jambo hili linanichanganya sana kwa kuwa niliomba nafasi pale TIA na DIT nkapata ila kwa kuwa nilikuwa napenda kozi za afya nimeshindwa kwenda kufanya usajili na pale TIA muda wa usajili umekwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…