MUHIMU:Ambao hamjaona/mliokwiaha ona selection.zenu TCU

Nimetazama profile yangu cas inaonesha programs nilizoomba ziko processed "YES" ila haioneshi nimechaguliwa program ipi. Nikitumia airtel *150*44# nikifika kwenye password inakataa kwamba nimekosea. Au nalazimika kuregister tena kupitia airtel?
Msaada marafiki naona presha inapanda.
 

ardhi mwenzangu hyo hongera bana...
 
jaman mm username yangu ni email adrec lakn kwenye ku login naambiwa nimepewa mfano wa namb yangu ya mthan na mwaka nlomalza form 4
Pole sana kijana kwa kujichanganya
sehemu ya username unaandika namba yako ya mtihani pamoja na mwaka uliomalizia
e.g: s1967/0085/2010
Sehemu ya password unaweka namba yako ya siri
 

asante sana mkuu
mliochaguliwa udsm karibuni.
 
hila darasa inabidi nizidi kulipata...ntajaribu kukutafuta... nikijua nnapoenda...
 
Mkuu!asante sana kwa ushauri unanifaa sana hasa mimi mwanafunzi wa UDOM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…