Muhimu : Jakaya kikwete hana gpa ya ngapi...........................?

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,343
Reaction score
2,527
.......Nimekuwa nikipata taarifa tofauti tofauti kila mara ninapouliza watu juu ya GPA ya JK kwenye Bachelor yake.Wengi wanadai aligonga 2.6 na kagonga Supp za kutosha almost each semister....Nauliza hili nadhani lina connection na some of his failure in leadership....Na nimekuwa nafuatilia kauli fulani huyu Prof Lipumba aka LI-PUMBA amekuwa akisema JK alikuwa na midhaa tangu akiwa chuo,Je si kwamba midhaa ndio anayoindeleza?
 
alikuwa na pass! Nadhani unajua pass inaanzia ngapi ukiwa kama graduate au co?
 
ukweli jk ana GPA ya 1.8 yani alipiga almost makarai...! C :tape::tape:
 
.......Nimekuwa nikipata taarifa tofauti tofauti kila mara ninapouliza watu juu ya GPA ya JK kwenye Bachelor yake.Wengi wanadai aligonga 2.6 na kagonga Supp za kutosha almost each semister....Nauliza hili nadhani lina connection na some of his failure in leadership....Na nimekuwa nafuatilia kauli fulani huyu Prof Lipumba aka LI-PUMBA amekuwa akisema JK alikuwa na midhaa tangu akiwa chuo,Je si kwamba midhaa ndio anayoindeleza?

Lipumba lazima amtetee kilaza JK, kumbuka CUF na Lipumba ndo zinakufa kisiasa huku Bara na sasa wana-ndoa Zenj... Utendaji wa JK hutakiwi kupata vyeti vyake kujua ni kilaza. Unaweza kuwa kilaza darasani lkn ukawa mtendaji mzuri kazini au pengineko, vivyo hivyo unaweza kuwa mzuri darasani ukawa kilaza kazini. JK yeye anaonyesha alikua kilaza darasani na hata kazini ndio anavyotudhihirishia.....
 
Yaani sie wenye GPA ya 1.8 mbona tuna tabu yaani sie ndio vilaza kama baba mwenye nyumba? maana mie nina hiyo hiyo.
 
na kwenye hii fani ya u pilot sijui atapata ngapi? anaweza kupandisha GPA mana kila siku yupo angani!!!!!
 
Yaani sie wenye GPA ya 1.8 mbona tuna tabu yaani sie ndio vilaza kama baba mwenye nyumba? maana mie nina hiyo hiyo.
HALAFU MTU ANAKUWA NA HIYO YA ECONOMICS MWE! sociology hahahhahah kweli huyu kilaza!
 
ukweli jk ana GPA ya 1.8 yani alipiga almost makarai...! C :tape::tape:

Nadhani alikuwa bonge la kilaza...yaani akuweza kuibabatiza even one A.....unbelievable wanaJF....ha ha ha ha ha!!!!
 
Back
Top Bottom