.......Nimekuwa nikipata taarifa tofauti tofauti kila mara ninapouliza watu juu ya GPA ya JK kwenye Bachelor yake.Wengi wanadai aligonga 2.6 na kagonga Supp za kutosha almost each semister....Nauliza hili nadhani lina connection na some of his failure in leadership....Na nimekuwa nafuatilia kauli fulani huyu Prof Lipumba aka LI-PUMBA amekuwa akisema JK alikuwa na midhaa tangu akiwa chuo,Je si kwamba midhaa ndio anayoindeleza?

HALAFU MTU ANAKUWA NA HIYO YA ECONOMICS MWE! sociology hahahhahah kweli huyu kilaza!Yaani sie wenye GPA ya 1.8 mbona tuna tabu yaani sie ndio vilaza kama baba mwenye nyumba? maana mie nina hiyo hiyo.