Sina uhakika ila unaweza kwenda UDSM kwenye department ya Statistics wanaweza kukusaidia. Mimi nilisomea nje ya Tz na nilitumia kitabu kifuatacho ambacho kwa kuanzia kinaweza kukusaidia: SPSS
ANALYSIS WITHOUT ANGUISH. Mimi nilisoma version 10 na 11, ila sasa imeshafikia version 18. Ukikinunua hakikisha kinakuwa na CD yake. Unaweza kukipata kwenye
Amazon.com: Online Shopping for Electronics, Apparel, Computers, Books, DVDs & more Cha kwangu nimekimisplace ningekusaidia mkuu...ila ni very straightforward na interesting statistical software..naamini ukianza kujifunza utaifurahia...All the best