Kwakuwa inahusu mahusiano ya mke/mume hapa panafaa.Ulibwino, mkalamba? peleka jf doctor mkuu watakujibu..:juggle:
Ulibwino, mkalamba? peleka jf doctor mkuu watakujibu..:juggle:
ukizingatia kuwa jogoo mpaka awike inabidi msukumo wa damu uwe mkubwa kuelekea kwenye sex organs.
Ni mbinu ya kuvuta watu ni kama wanaoandika 'usisome hii' angalia watu watavyomiminika.Jamani Mzambia umeniacha hoi na kichwa
cha hii thread ...
Kwa wanaume/wanawake tu
Kwani kuna nani tena dear?
Kwa wanawake sielewi lakini naweza kuongelea kuhusu wanaume wenye kisukari,mimi nimekuwa na kisukari kwa miaka 13 kama ukifata masharti hiyo athari haitakwepo.Unatakiwa kufata masharti ya kula matunda na mbogamboga kwa wingi,kunywa maji mengi,acha kutumia soda na pombe zenye sukari(bia 2-3 kama Serengeti au pombe kali mara 1-2 kwa wiki haina madhara)kupunguza sio kuacha vyakula vya wanga,vyakula vya protini kama mayai,nyama,maharage na maziwa ule mara kwa mara,ufanye mazoezi,ulale mapema na mwisho umeze dawa kwa wakati baada ya kula sio kabla.
Kama una uwezo nunua mashine ya kupima glucose na kujipima kwa uchache mara 2 kwa wiki ukiamka na masaa 2 baada ya mlo,mashine hizi ni elfu 45 tu.
Kitu cha kwanza ukishajuwa una diabetes ni kuikubali hali hii na kufata masharti ambayo watu wengi hawayafati na baadae kupata matatizo ya macho,figo,ukosefu wa nguvu za kiume na kadhalika.Mimi baada ya kujihisi kuchoka kila mara,kukojoa sana na kusikia kiu kila wakati 1998 nilipimwa na kugundulika na diabetes,nilikutana na babu wa miaka 78 ambaye aliishi na kisukari kwa miaka 42 na huwezi amini ana afya nzuri.Ushauri wake ndio nimeuandika hapa juu,umenisaidia sana na tusisahau kumshukuru MUNGU.Good sound advice mkuu!!
Na kwa wale ambao hawakuweza ku-manage diabetes mpaka kufikia kwamba hili tatizo limekua chronic basi dawa kama Viagra na nyengine ndio zinasaidia, lakini bado inabidi wamwone daktari, kufanyiwa vipimo vingine then kuandikiwa dawa hii!!
Jamani Mzambia umeniacha hoi na kichwa
cha hii thread ...
Kwa wanaume/wanawake tu
Kwani kuna nani tena dear?
Kwa wanawake sielewi lakini naweza kuongelea kuhusu wanaume wenye kisukari,mimi nimekuwa na kisukari kwa miaka 13 kama ukifata masharti hiyo athari haitakwepo.Unatakiwa kufata masharti ya kula matunda na mbogamboga kwa wingi,kunywa maji mengi,acha kutumia soda na pombe zenye sukari(bia 2-3 kama Serengeti au pombe kali mara 1-2 kwa wiki haina madhara)kupunguza sio kuacha vyakula vya wanga,vyakula vya protini kama mayai,nyama,maharage na maziwa ule mara kwa mara,ufanye mazoezi,ulale mapema na mwisho umeze dawa kwa wakati baada ya kula sio kabla.
Kama una uwezo nunua mashine ya kupima glucose na kujipima kwa uchache mara 2 kwa wiki ukiamka na masaa 2 baada ya mlo,mashine hizi ni elfu 45 tu.
Heshima inarejea, jaramba kama kawaida! Nenda ufanyiwe maombi.Na ni kweli babu wa loliondo anarudisha heshima nyumbani?
Jamani Mzambia umeniacha hoi na kichwa
cha hii thread ...
Kwa wanaume/wanawake tu
Kwani kuna nani tena dear?