Muhimu kwa afya zetu

Qassim14

Senior Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
182
Reaction score
202
Salam zenu zimenifikia na zangu zije kwenu wote wanajamii.

Kuna vitu vitatu nimevisikia muda sana ila ufafanuzi wa kina ama wa wastani sijaupata.

1. Kutojitia/kutotumia sabuni sehemu za siri za mwanamke wakati wa kuoga ama muda wowote ule.-- ni kwanini na kuna athari gani?

2. Kutovaa chupi ama nguo za ndani zikiwa zimeloana kwa mwanamke/na mwanaume..-- ni kwanini na kuna athari gani?

3. Kutovaa chupi ama nguo za ndani majira ya usiku kwa wanawake? -- kwanini na kuna athari gani?

Kwa alie na lolote analolifahamu kutokana na maelezo ya wazazi au walezi wetu ila kama madaktari wapo ni vyema zaidi tujuzane.

Nawasilisha mada.
 
Mwanamke anaelala bila chupi ahakikishe nyumba yake haina mende. Wasije wakatafuta kichimbo chao.....

Akili za jumamosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…