Muhimu kwa mwaka wa pili na kuendelea

Muhimu kwa mwaka wa pili na kuendelea

gbrother

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
408
Reaction score
51
Kuna sms inasambazwa inasema "karudie kurenew mkopo, mwisho tr 31 mwezi huu, mwanzoni mtandao ulikuwa unasumbua. Wajulishe na wengine" hivi hizi taarifa ni kweli? Mwenye uhakika naomba hatusaidie kupitia hapa kama taarifa hii ni sahihi maana wengine tuko mbali na cafe,
 
hata mim imenifikia na sijajua kama ni kweli au vip,,,,,, mwenye kujua tafadhar
 
Taarfa iz si zakweli!!! nmeongea na wazr wamikopo udsm kasema niuzush tu uo.
 
Back
Top Bottom