Muhimu!!!:kwa wale wote ambao profile zenu zinaonesha hamjafanya application

Mbwiga88

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
642
Reaction score
142
hilo ni jambo la kawaida hata msihofu ndugu zangu kilichotokea ni kwamba sasa ndo panel zinaanza kukaa kwa ajili ya kufanya selection so course zenu mlizochagua hamuwezi kuziona kwa sasa ila mara tu process ya selection ikikamilika utaona course uiyochaguliwa na chuo husika..mind u ni hali ya kawaida na usifanye chochote katika profile yako kwa sasa ila unashauriwa uwe unaitembelea mara kwa mara kama kutakuwa na mabadiliko yoyote..kama una swali lolote usisite kuniuliza kwa PM hata hapa katika thread..
 
Ameen. Mkuu nilikurupuka nikajaza second bila kuangalia list. Baada ya kuona cmo nkatoa! Ama kweli hofu yaweza ua!mwee!
 
shukrani mkuu Mbwiga88 kwa ku2toa hofu maana i was so confused.
 
Ahsante mkuu Mbwiga,but selectio zaweza toka lini?
 
sijakuelewa, ndo wanafanya selection kivipi?
selection zilishafanyika siku nyingi na ndo maana wakatoa majina ya ambao hawajachaguliwa. hapo wanachokifanya ni kumwandikia kila mmoja kwenye profile yake amechaguliwa chuo gani na kozi gani kati ya zile alizochagua!
Haiwezekani eti hawajafanya selection halafu waseme kuna watu hawajapata vyuo!
panel ilishakaa siku nyingi sana na ndo maana wakatoa majina ya waliokosa na pia wakatoa na courses ambazo hazijapata watu!
watajuaje courses ambazo hazijapata watu kama walikuwa hawajafanya selection?

soon kila mtu atajua amepangiwa wapi kwa wale waliopata!
 

Ndugu yangu Tangopori laiti ungejua mimi ni nani huku TCU na nipo kitengo gani usingeyasema hayo.....kuanzia tarehe 10 mara tu baada ya deadline ya hawa watu wa 2nd round ambayo ni tarehe 9...ndio tutaanza mchakato mzima wa selection...take my word for that!!!
 

Nini maana ya kusema second round for those who are not selected? ktk mantinki ya kawaida huwezi kuwa na majina ya waliokosa kama hakuna kilichofanyika pia huwezi kuwa na idadi ya kozi zilizowazi kama hakuna kilichofanyika. unaweza kuwa ikulu lakini usijue rais atasafiri lini.
 
Kwa topic hii wewe unafanya nini TCU hata huelewi kinachoenedelea??
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ishia-course-applicants-go-and-check-now.html na ulijuaje haya kama huna profile ya TCU? wewe ni form six leaver!..
OVERR!
kadanganye huko facebook sio hapa JF!
 
Selection tiyar hapo wanataka ku2onyesha chuo 2lichopangiwa kwa kla m2!
 
nadhani kuna kitu hujakielewa vizuri ndg yangu hawa watu ambao majina yao yametoka juzi sio kama wamekosa vyuo ila ni kwa sababu zifuatazo:i) Being eligible but left due to Competition;
ii) Failure to submit their programme choices;
iii) Choosing programmes that they do not qualify.....trust me bdo hatujafanya selection tupo ktk phase 1......phase 2 inaanza tarehe 10
 
baadhi ya comments zako kwenye hii thread
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ishia-course-applicants-go-and-check-now.html
ni hizi hapa
Cjui wana tatzo gani! Labda tusubiri

Afu wengne ndo tunaenda jeshi sasa cjui wanampango gani na cc

HAYA KADANGANYE FB WENZAKO!
 

sasa competition inamaanisha nini? Acha kutufanya hatuelewii! Wanaposema 1st round wamekosa kutokana na competition, so it's means wameshachaguaa, also nin maana ya ''first come-first served"
kwel unaweza ukawa unafanya kazi ikulu lakin hujui raisi anasafiri lini!!! Ni hayoooo tuuu mbwigaa88! Overrrr
 
Huyu mbwiga88 anatufanya wote mazoba humu JF wakati sisi ni maGT wa ukweli,ukweli ni kwamba selection zipo tayari na hakuna panel inayokaa kufanya selection ni kwamba hii kitu hufanywa na system tena within a single day kila kitu kinamalizika.
 
Huyu mbwiga88 anatufanya wote mazoba humu JF wakati sisi ni maGT wa ukweli,ukweli ni kwamba selection zipo tayari na hakuna panel inayokaa kufanya selection ni kwamba hii kitu hufanywa na system tena within a single day kila kitu kinamalizika.
ndio maana nasema ivi......I LOVE JF!
 

Kwetu mbwiga ni F.A.L.A
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1375535101803.jpg
    50.5 KB · Views: 111
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…