Muhimu kwa wana saut campus ya mwanza

oneblood

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2011
Posts
244
Reaction score
51
[h=5]MUHIMU SOMA

Wizara ya mikopo SAUTSO inawafahamisha wanufaika wote wa MKOPO kuanzia mwaka wa 2,3 na 4 kwamba kesho 7/10/03 kuanzia saa3:30 kufika maeneo ya ATM chuoni hapa wakiwa na ATM card ya CRDB na kitambulisho cha chuo kwa ajili ya kusaini FEDHA ya kujikimu,wizara inaomba uzingatiwaji wa mda,vigezo na maelekezo
asanteni na karibuni muhudumi[/h]
  • :tinfoil3:
[h=5]we[/h]
  • :welcome:

  • :amen:
 
vp kuhusu first year maana hatujui kinacho endelea hapo chuoni zaidi ya kukariri EF,PH,LG,CT.msaada
 
Naona wameamua kuanza kwanza na mwaka wa 2,3 na 4 wa kwanza mtaanza hawa wengine wakimaliza nafikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…