Jamani mwenzenu nimemaliza Chuo mwaka jana mwezi wa 7. Nahitaji ajira inayohusiana na Law, Administration, Customer care, Policy Advocacy, Human Resource n.k. Anayeweza kunisaidia tafadhali namba 0683777792. Tusaidiane tusitupane wapendwa.
Jamani mwenzenu nimemaliza Chuo mwaka jana mwezi wa 7. Nahitaji ajira inayohusiana naLaw, Administration, Customer care, Policy Advocacy, Human Resource n.k. Anayeweza kunisaidia tafadhali namba 0683777792. Tusaidiane tusitupane wapendwa.
Kaka hakuna kazi siku hizi kama wewe umesoma law anza kapisa kuwa mpiganaji na anza kuwaelimisha wananchi juu ya haki zao huo ndio utakuwa mwanzo wa wewe kujitangaza na kuanza fanya mambi makubwa zaidi!!!!