Muhimu – mkutano wa fos kesho tarehe 25 jumamosi

Muhimu – mkutano wa fos kesho tarehe 25 jumamosi

Kweli slaa kaishiwa ameanza kutembeza BAKURI JAMANI

mIMI NAOMBA NIOMBA NIMCHANGIA LAKI MOJA
 
Unakaribishwa sana katika michango unaweza kutembelea blogu zetu kwa ajili ya namba za michango au unaweza kuwasiliana kwa namba hizo na email hizo
 
Kweli slaa kaishiwa ameanza kutembeza BAKURI JAMANI

mIMI NAOMBA NIOMBA NIMCHANGIA LAKI MOJA

Slaa anaomba watanzania michango ya kampeni

lakini,

Jeykey na Salma wanapora ndege, magari, pesa za serikali, kufanyia kampeni
 
Ningeshauri namba za simu za kuchangia zitangazwe sana kwenye TV na Redio na hasa papo kwa papo kwenye mikutano ya hadhara ,ili wale wenye kilongalonga wachangie hapo wanapokuwa wanahudhuria mikutano!
 
Shy

Umetumwa kuharibu mchakato wa mgombea urais wa CHADEMA?

dhamira yangu inaniambia kuwa "Shy can not be Friend of Slaa" NEVER!
 
Back
Top Bottom