Yona F. Maro R I P Joined Nov 2, 2006 Posts 4,201 Reaction score 236 Sep 24, 2010 #1 NAPENDA KUWAKARIBISHA KWENYE MKUTANO WA FOS KESHO JUMAMOSI TAREHE 25 MAHALI : LANDMARK HOTEL UBUNGO MUDA : KUANZIA SAA 10 JIONI KWA MAWASILIANO ZAIDI UKIFIKA PIGA NAMBA 0786 806028 EMAIL : FRIENDSOFSLAA@GMAIL.COM - BADO TUNAHITAJI MCHANGO WAKO WA FEDHA NA MAWAZO KWENYE KUENDESHA KAMPENI ZA DR SLAA TOVUTI YETU NI WWW.MARAFIKIWASLAA.BLOGSPOT.COM WWW.FRIENDSOFSLAA.BLOGSPOT.COM
NAPENDA KUWAKARIBISHA KWENYE MKUTANO WA FOS KESHO JUMAMOSI TAREHE 25 MAHALI : LANDMARK HOTEL UBUNGO MUDA : KUANZIA SAA 10 JIONI KWA MAWASILIANO ZAIDI UKIFIKA PIGA NAMBA 0786 806028 EMAIL : FRIENDSOFSLAA@GMAIL.COM - BADO TUNAHITAJI MCHANGO WAKO WA FEDHA NA MAWAZO KWENYE KUENDESHA KAMPENI ZA DR SLAA TOVUTI YETU NI WWW.MARAFIKIWASLAA.BLOGSPOT.COM WWW.FRIENDSOFSLAA.BLOGSPOT.COM
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,264 Reaction score 678 Sep 24, 2010 #2 Kweli slaa kaishiwa ameanza kutembeza BAKURI JAMANI mIMI NAOMBA NIOMBA NIMCHANGIA LAKI MOJA
Yona F. Maro R I P Joined Nov 2, 2006 Posts 4,201 Reaction score 236 Sep 24, 2010 Thread starter #3 Unakaribishwa sana katika michango unaweza kutembelea blogu zetu kwa ajili ya namba za michango au unaweza kuwasiliana kwa namba hizo na email hizo
Unakaribishwa sana katika michango unaweza kutembelea blogu zetu kwa ajili ya namba za michango au unaweza kuwasiliana kwa namba hizo na email hizo
MAMA POROJO JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 4,974 Reaction score 785 Sep 25, 2010 #4 JEYKEYWAUKWELI said: Kweli slaa kaishiwa ameanza kutembeza BAKURI JAMANI mIMI NAOMBA NIOMBA NIMCHANGIA LAKI MOJA Click to expand... Slaa anaomba watanzania michango ya kampeni lakini, Jeykey na Salma wanapora ndege, magari, pesa za serikali, kufanyia kampeni
JEYKEYWAUKWELI said: Kweli slaa kaishiwa ameanza kutembeza BAKURI JAMANI mIMI NAOMBA NIOMBA NIMCHANGIA LAKI MOJA Click to expand... Slaa anaomba watanzania michango ya kampeni lakini, Jeykey na Salma wanapora ndege, magari, pesa za serikali, kufanyia kampeni
N Ndinani JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,329 Reaction score 4,286 Sep 25, 2010 #5 Ningeshauri namba za simu za kuchangia zitangazwe sana kwenye TV na Redio na hasa papo kwa papo kwenye mikutano ya hadhara ,ili wale wenye kilongalonga wachangie hapo wanapokuwa wanahudhuria mikutano!
Ningeshauri namba za simu za kuchangia zitangazwe sana kwenye TV na Redio na hasa papo kwa papo kwenye mikutano ya hadhara ,ili wale wenye kilongalonga wachangie hapo wanapokuwa wanahudhuria mikutano!
Baba_Enock JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 7,076 Reaction score 2,457 Sep 25, 2010 #6 Shy Umetumwa kuharibu mchakato wa mgombea urais wa CHADEMA? dhamira yangu inaniambia kuwa "Shy can not be Friend of Slaa" NEVER!
Shy Umetumwa kuharibu mchakato wa mgombea urais wa CHADEMA? dhamira yangu inaniambia kuwa "Shy can not be Friend of Slaa" NEVER!