dah umenikumbusha mbali kweli ishu za nyali ,chuck norris ,sola debe,UPARO,INCHAJI,..kukata kiu,..Nzega guest house,Changarawe,..kipindi hicho Mirambo na Shaban Robert kwa mabrazameni ,Mkwawa na Karume kwa wagumu.........siku ya nyali kulikuwa na foleni ndefu ya kwenda kuoga sababu kila mtu anataka kuoga siku hiyo...baada ya kupiga pushaps nk...DAH !!!! tehe tehe umenikumbusha mbali
Wavivu kusoma ratiba zetu , ukmalza class unaenda pata ngama ya nguvu na salo la tsh 30, lala nusu saa bwenin then unashuka chuo kuangalia uzamini na magazeti, ukmalza unaenda kuchk basket, saa moja unajirudsha kuoga na kwenda kupata nyali. Mirambo ndo wanamisula. Nyuji nzito, utasinzia wakati shangaz akiwamaindi wafoji specil. Dakawa tumejipiga mabao sana. Da uzumbeni?