Muhimu:nahitaji meneja

Muhimu:nahitaji meneja

think3r91

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
469
Reaction score
210
Nimetumia account hii (sio akaunti yangu) nikiwa na lengo la kufikisha ujumbe huu.

Jina langu naitwa Blessing(sio mmiliki wa account hii) nIna umri wa miaka 19 ni mzaliwa wa TANGA ninaishi DAR ES SALAAM. Tangu nikiwa na umri wa miaka 14 nilipenda sana kuwa mtunzi wa hadithi na weza kusema wazazi pia walikuwa wakichangia mimi kupenda kuandika na kutunga kwa sababu ni mara nyingi sana walikuwa wakininunulia vitabu vya riwaya na kuniwekea utaratibu wa kila jumamosi kwenda maktaba kujisomea vitabu mbalimbali tangu nikiwa na umri wa miaka nane.

Kutokana na mazingira ya kupenda kusoma nilijikuta nikishika peni na karatasi nikianza kuandika mambo mbalimbali hususani story. Niliona njia pekee ya kuwafikia watanzania ni kuziandika kazi zangu mtandaoni ili watu waweze kukiona na kuelimika juu ya kile ninacho kiandika.

Lakini nataka kusema kitu kimoja mpaka sasa nimefanikiwa kupata hati miliki ya hadithi yangu inayojulikana kwa jina la THE FINAL DECISION 2014. Ninachotaka kusema ni kwamba nahitaji mtu mwenye uwezo wa kuzisimamia kazi zangu hasa zitakazo fuhata mtu ambaye nina mzungumzia hapa awe na uwezo na kunifanyia connection na wasanii wengine hasa wa filamu kwa sababu story zangu zinachezeka katika filamu,awe na uwezo wa kunishauri katika maswala mbalimbali ya kisanaa hasa utunzi na ikiwezekana awe msanii pia

Nahitaji kwenda kimataifa kwa kazi zangu nyingine zitakazo fuhata. Mimi najipa imani ya kubadilisha sanaa ya filamu TANZANIA hasa katika utunzi wa hadithi zake na siku zote na hakikisha mawazo yangu yana DREAM BIG kwa sababu A dream you dream alone is only a dream. A dream you dream together is reality and always All our dreams can come true, if we have the courage to pursue them kwa mawasiliano tuwasiliane hapa 0737210025 au 0736205467 asanteni sana

CLICK HAPAKUSOMA STORY YANGU
THE INNOVATION HOUSE : :FINAL DECISION 2014 {CHANGE YOUR THINKING}

Nadhani sio meneja unayemuhitaji bali wewe wapaswa kupata mtu atayekufunda na kukueleza ethics za kazi za fasihi andishi...

Katika hiyo riwaya uliyotutajia naona umeweka picha halisi ya mwanadamu aliyegongwa ambaye bila shaka hana uhusiano wowote na simulizi lako, zaidi ya hapo majeruhi yule ametapakaa damu kila mahali na sura yake yaonekana dhahiri.

Vitabu vingi huwakilisha tukio la picha kwa njia ya michoro ambayo kwa namna fulani huficha uhalisia na kuzuia ule msisimuko usio wa lazima kama ambavyo wewe umefanya...

Hata hivyo kila la kheri katika fani yako
 
Hadithi kumbe iko kwa Kiswahili? Nini kilishindikana kuipa maneno ya kiswahili kama kichwa cha habari? Hiki ndo kinatuangusha wa-Tz!
 
tutafute wataalam wa fasihi,kama cc,weny degree ya literature ..tunajua pa kuanzia..mana kitabu cha kazi ya fasih kinaprocess ndefu had kiddie hatua ya kuingia soon,unless otherwise utaishia kuibiwa kazi yako,co nymbo tu kuibiwa hata vitabu
 
Kitabu kizuri...ila bado sijajua kwanini umekipa title ya kiingereza...nlivoona mara ya kwanza nkajua kitakua cha kiingereza..
 
vizuri sana kwanza nenda mwenyewe kwenye ofice za hao wasanii wabongo zitafute zipo, ongea nao ila usiwaachie kazi wataiba, pili mtafute mboni wa mboni show yule anaweza kukuunganisha na msanii yeyote kama wakina JB cos hao wote wasanii wazuri kuact movie but hawana tungo nzuri na ndio kitu kinacho nitoa hata mimi kuaangalia movie za bongo jaribu hao then badilisha zile tungo zao ili zivutie nafikiri ni kazi ambayo unaweza tengeneza hela nzuri tu.
All the best
 
tutafute wataalam wa fasihi,kama cc,weny degree ya literature ..tunajua pa kuanzia..mana kitabu cha kazi ya fasih kinaprocess ndefu had kiddie hatua ya kuingia soon,unless otherwise utaishia kuibiwa kazi yako,co nymbo tu kuibiwa hata vitabu

sasa nyie ndio mngeweza change gem nzima ya movie kwa kutunga script za maana kwa elimu mlizo nazo then mnawauzia wakina wema, JB ungekua umeisaidia hata movie industry kushindana na za nigeria kenya, maana hao ukiangalia watungaji almost wote ni graduate na ma actor pia graduate, hebu wasaidieni wasanii wa bongo
 
true that kaka ..na ss ndo tunafanya mchakato uweze kubadilisha tasnia hii ya fasihi ikiwa pamoja na film.
 
Nimetumia account hii (sio akaunti yangu) nikiwa na lengo la kufikisha ujumbe huu.

Jina langu naitwa Blessing(sio mmiliki wa account hii) nIna umri wa miaka 19 ni mzaliwa wa TANGA ninaishi DAR ES SALAAM. Tangu nikiwa na umri wa miaka 14 nilipenda sana kuwa mtunzi wa hadithi na weza kusema wazazi pia walikuwa wakichangia mimi kupenda kuandika na kutunga kwa sababu ni mara nyingi sana walikuwa wakininunulia vitabu vya riwaya na kuniwekea utaratibu wa kila jumamosi kwenda maktaba kujisomea vitabu mbalimbali tangu nikiwa na umri wa miaka nane.

Kutokana na mazingira ya kupenda kusoma nilijikuta nikishika peni na karatasi nikianza kuandika mambo mbalimbali hususani story. Niliona njia pekee ya kuwafikia watanzania ni kuziandika kazi zangu mtandaoni ili watu waweze kukiona na kuelimika juu ya kile ninacho kiandika.

Lakini nataka kusema kitu kimoja mpaka sasa nimefanikiwa kupata hati miliki ya hadithi yangu inayojulikana kwa jina la THE FINAL DECISION 2014. Ninachotaka kusema ni kwamba nahitaji mtu mwenye uwezo wa kuzisimamia kazi zangu hasa zitakazo fuhata mtu ambaye nina mzungumzia hapa awe na uwezo na kunifanyia connection na wasanii wengine hasa wa filamu kwa sababu story zangu zinachezeka katika filamu,awe na uwezo wa kunishauri katika maswala mbalimbali ya kisanaa hasa utunzi na ikiwezekana awe msanii pia

Nahitaji kwenda kimataifa kwa kazi zangu nyingine zitakazo fuhata. Mimi najipa imani ya kubadilisha sanaa ya filamu TANZANIA hasa katika utunzi wa hadithi zake na siku zote na hakikisha mawazo yangu yana DREAM BIG kwa sababu A dream you dream alone is only a dream. A dream you dream together is reality and always All our dreams can come true, if we have the courage to pursue them kwa mawasiliano tuwasiliane hapa 0737210025 au 0736205467 asanteni sana

CLICK HAPAKUSOMA STORY YANGU
THE INNOVATION HOUSE : :FINAL DECISION 2014 {CHANGE YOUR THINKING}

kwanza inabid ujue nn unakata ,kutoa kitabu thn kikiwa sokoni ndo kitengenezewe movie au movie kwanz...kwa Ushauri wangu watafute wasanii uingie uelewane nao wakusaidie kutoa kitab chako,then watumie hyo story kutengeneza movie ...
hapo wakusaidia nawe kijitangaza..
 
Back
Top Bottom