think3r91
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 469
- 210
Nimetumia account hii (sio akaunti yangu) nikiwa na lengo la kufikisha ujumbe huu.
Jina langu naitwa Blessing(sio mmiliki wa account hii) nIna umri wa miaka 19 ni mzaliwa wa TANGA ninaishi DAR ES SALAAM. Tangu nikiwa na umri wa miaka 14 nilipenda sana kuwa mtunzi wa hadithi na weza kusema wazazi pia walikuwa wakichangia mimi kupenda kuandika na kutunga kwa sababu ni mara nyingi sana walikuwa wakininunulia vitabu vya riwaya na kuniwekea utaratibu wa kila jumamosi kwenda maktaba kujisomea vitabu mbalimbali tangu nikiwa na umri wa miaka nane.
Kutokana na mazingira ya kupenda kusoma nilijikuta nikishika peni na karatasi nikianza kuandika mambo mbalimbali hususani story. Niliona njia pekee ya kuwafikia watanzania ni kuziandika kazi zangu mtandaoni ili watu waweze kukiona na kuelimika juu ya kile ninacho kiandika.
Lakini nataka kusema kitu kimoja mpaka sasa nimefanikiwa kupata hati miliki ya hadithi yangu inayojulikana kwa jina la THE FINAL DECISION 2014. Ninachotaka kusema ni kwamba nahitaji mtu mwenye uwezo wa kuzisimamia kazi zangu hasa zitakazo fuhata mtu ambaye nina mzungumzia hapa awe na uwezo na kunifanyia connection na wasanii wengine hasa wa filamu kwa sababu story zangu zinachezeka katika filamu,awe na uwezo wa kunishauri katika maswala mbalimbali ya kisanaa hasa utunzi na ikiwezekana awe msanii pia
Nahitaji kwenda kimataifa kwa kazi zangu nyingine zitakazo fuhata. Mimi najipa imani ya kubadilisha sanaa ya filamu TANZANIA hasa katika utunzi wa hadithi zake na siku zote na hakikisha mawazo yangu yana DREAM BIG kwa sababu A dream you dream alone is only a dream. A dream you dream together is reality and always All our dreams can come true, if we have the courage to pursue them kwa mawasiliano tuwasiliane hapa 0737210025 au 0736205467 asanteni sana
CLICK HAPAKUSOMA STORY YANGU
THE INNOVATION HOUSE : :FINAL DECISION 2014 {CHANGE YOUR THINKING}