Muhimu sana kwa .jf entrepeners chekini hiyo aidia na changia kadri uwezavyo.

Muhimu sana kwa .jf entrepeners chekini hiyo aidia na changia kadri uwezavyo.

mtoa mada hebu rekebisha heading ya topic yako kwanza

inaishusha credibility ya topic , jf entrepeners ni nini?
 
wazo zuri,tafadhali hakiki ulichokiandika ili kilete maana nzuri na uwelewa.ukishindwa ipitishe jukwaa la lugha watakuwekea mtiririko mzuri wa mawazo yako.
 
INTERDEPENDECE CLUBS OR GROUPS OF COMPANY

Nimejaribu Kupitia Thread Nyingi sana Kwenye Jukwaa la Biashara na kwa kweli ni nzuri sana kwa msatakabari wetu hapa Tanzania, So mimi napendekeza Vitu Vifuatazo.

  1. KWANZA NI VIGUMU SANA KWA SASA KUWA NA KITU KINACHO ITWA MASHAMBA YA KWA PAMOJA KAMA YALE YA ENZI ZILE ZA UJAMAA. TUNAWEZA ANZISHA MASHAMBA HAYO BUT NI VIGUMU KUYAENDESHA WATU WAKIWA WENGI MASARANI 30 HIVI NI VIGUMU MNO NA KITU AMBACHO KINAWEZA LETA MATATIZO KWA BAADAE.

  1. NINI TUFANYE?
KUANZISHA INTERDEPENDECE GROUPS OF COMPANY/ CLUB YA BIASHARA ZETU AMBAYO ITAKUWA NA MAJUKUMU YA KUFANYA BIASHARA SISI KWA SISI ILI TUKUZE MITAJI YETU.
MFANO WA KAMPUNI HIZO NI HIZI
1. Utarii
2. IT
3. Consultancy
4. Agriculture/ katika nyanja mbalimbali
5. Ufugaji wa Kuku na Nyuki
6. Clearing and Forwarding
7. Hoteli/ Migahawa
8. Guest House
9. Usafirishaji wa Bidhaa na Abiria
10. Uuzaji wa Bidhaa kwa Ujumula
11. Constraction
12. Comnication
13. Educatiuon
14. Packaging
15. Export and Importation
16. Printing
- Nazingine nyingi sana ambazo sijazitzja.
NB:
SHARITI MEMBER AWE NA BIASHARA INAYO TAMBULIKA NA SERIKALI YAANI AMEJREGISTER KAMA KAMPUNI AU PARTINERSHIP. HATUTAKI SABSTANCE BUSINESS


Tukiwa kila mtu au watu wana Biashara/Kampuni zao zinazo fanya shuguri tofautitofaut tutaweza kutegemeana kwa vitu vifuatavyo.

1. Kampuni za IT zatatusaidia katika shughuli za zetu za ki IT so kazi zote shariti tuzipeleke kwa watu hao

2. Kilimo makampuni ya kilimo yatakavyo kuwa yanazarisha mazao yao memba wengine wanao fanya biashara za ununuaji wa mazao hayo shariti wanunue


3. Makampuni ya consultancy yatakuwa yanatusaidia kwenye kazi zetu mbalimbali za kiushauri, so kazi zote shariti tuwapelekee wao

4. Kampuni za Printing wao watakuwa wakiprint kazi zeu, so shariti tuwapelekee wao


5. Makampuni ya Clearing and Fowarding watapata kazi zetu za ku exprt na ku import bidhaa zetu

6. Makampuni ya Ujenzi yatapata kazi zetu pale tutakapo kuwa tunahitaji kujenga


7. Makampuni ya Packaging yatapata kazi zetu za kupark bidhaa zetu

8. Mahoteli, Migahawa na Guest yatakuwa yakipata kazi zetu pale wanamakampuni watakavyo kuwa wana safari basi watalala, kula kwenye migahawa na hoteli hizo


9. Makampuni ya Kuuza pembejeo za kilimo wao watakuwa wanapata kazi za kutuuzia pembejeo

10. Maduka ya Jumula na Rejareja mfano supermarket wao watakuwa wakinunua bidhaa za wazarishaji wengine

KWA KIFUPI MWENYE KAMPUNI ATAKUWA AKIWAUZIA WATU WA NJE BUT, MEMBARS SHARITI WANUNUE AU WATUMIE HUDUMA ZA MEMBERS, UNLESS KAMA MEMBERS ATAKUWA HANA HUDUMA HIYO INAYO HITAJIKA.

MFANO: MIMI KAMA NAHITAJI KUTENGENEZEWA WEBSITE KAMA MEMBAS WATAKUWA HAWAWEZI BUSI HAPO NITAKUWA HURU KUTAFUTA NJE YA MEMBARS

JAMANI HII ITATUSAIDIA KUJIKWAMUA KAMA MNAVYO FAHAMU USHINDANI ULIOPO, TUKIWA WADOGO HILI LITATUSAIDIA KU GROWA UP. WAHINDI WANATUMIA SANA MFUMO HUU

1. MUHINDI ANAWEZA TOKA ARUSHA HADI DAR KWENDA KUNUA KITU AMBACHO HATA ARUSHA KIPO BUT ATAAENDA KUNUNUA KWA MWENZAKE DAR.

- HAPA TUNAWEZA TENGENEZA SHERIA ZETU ZA KUTUONGOZA NA KUTENGENEZA NETWORK YETU WENYEWE NA TUTAKUWA TUKIKUTANA KWA MAONGEZI NA KUANGALIA NI NANI ANA MATATIZO NA KUCHANGIA MAWAZO YA NINI AFANYE

CHANGIENI PLS

duh. , i reserve my comment and opinions
 
wazo zuri,tafadhali hakiki ulichokiandika ili kilete maana nzuri na uwelewa.ukishindwa ipitishe jukwaa la lugha watakuwekea mtiririko mzuri wa mawazo yako.

Mtiririko upi huo? Labda wewe usaidie kufanya hivyo.
 
Big up ni wazo zuri tatizo sina kampuni yoyote tunge organize tuanzie wapi!
 
mtoa mada hebu rekebisha heading ya topic yako kwanza inaishusha credibility ya topic , jf entrepeners ni nini?
halafu asilimit michango, wengine sio entrepreneurs ila tunaweza toa mawazo mazuri,
 
  • Thanks
Reactions: LAT
duh. , i reserve my comment and opinions

Umeona eeh??

Hivi kwa nini mtu hawezi kujipa muda wa kusahihisha makosa ya uandishi? Yeye anakimbilia ku-post tu!!? Shame on you guy! Mara "Members" iandikwe "Membars" cha wapi hicho? Halafu kesho na kesho kutwa eti unamcheka Mama Hawa Ghasia!!
 
Back
Top Bottom